Mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi,akifungua semina ya uhabarisho juu ya shughuli za mamlaka ya usimamizi na uthibiti wa sekta ya hifadhi ya jamii (SSRA).wa kwanza kushoto ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassani. na kulia ni mjumbe wa menejimenti na mkuu wa ununuzi wa SSRA,Emmanuel Urembo.
Mjumbe wa menejimenti na ununuzi wa mamlaka ya usimamizi na uthibiti wa sekta ya hifadhi ya jamii (SSRA),Emmanuel Urembo akitoa mada yake ya uhabarisho juu wa SSRA kwa wadau wa mkoa wa Singida jana (12/5/2014).Mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi na katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan,wakifuatilia.
Baadhi ya wanasemina ya uhabarisho wa mamlaka ya usimamizi na uthibiti wa mifuko ya hifadhi ya jamii (SSRA) iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa mkuu wa mkoa wa Singida mjini hapa.
Mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi,(wa tatu kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na wanasemina ya uhabarisho juu ya shughuli za mamlaka ya usimamizi na uthibiti wa sekta ya bhifadhi ya jamii (SSRA) iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Singida mjini hapa.Wa kwanza kushoto ni Mjumbe wa menejimenti na ununuzi wa SSRA,Emmanuel Urembo na anayefuatia ni katibu tawala mkoa wa Singida.
Bango la mamlaka ya usimamizi na uthibiti wa mifuko ya hifadhi ya jamii (SSRA).Picha zote na Nathaniel Limu.