Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Kinana afunga kazi Urambo, maelfu wahudhuria mkutano wake wa hadhara

$
0
0

1. Kinana akihutibia maelfu ya wananchi kwenye Viwanja vya Mwananchi Squire mjini Urambo

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya Wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mei 16, 2014 katika viwanja vya Mwananchi Squire mjini Urambo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Tabora.

2. Kinana akihutubia mkutano wa hadhara

Maelfu ya wananchi wakimsikiliza Kinana kwenye mkutano huo.

3. Kinana akiinukliwa baada ya kutawazwa uchifu

Kinana akiinuliwa baada ya kusimikwa uchifu wa Wanyamwezi kabla ya kuhutubia mkutano huo.

3b. Kinana katika picha ya pamoja na waliomtawaza uchifu

Kinana akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kijadi waliomtawaza kuwa chifu wa Wanyanyembe.

4. Nape akizungumza kwenye mkutano wa viwanja vya Mwananchi Squire

Kaibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisiitiza jambo akihutubia maelfu ya Wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mei 16, 2014 katika viwanja vya Mwananchi Squire mjini Urambo, akiwa na Kinana katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Tabora.

5. Sitta akihutubia mkutano wa hadhara Viwanja vya Mwananchi Squire

Mbunge wa Urambo Samwel Sitta akihutubia wananchi kwenye mkutano huo.

6. Kinana akimvisha kofia ya usalama, Katibu wa CCM kata ya Kondamoyo, Barakabraka wakati akimkabidhi pikipiki . Jumla ya pikipiki 16 zimetolewa na Sitta

Kinana akimvisha kofia ya usalama, Katibu wa CCM kata ya Kondamoyo, Barakabraka wakati akimkabidhi pikipiki . Jumla ya pikipiki 16 zimetolewa na Sitta na Mama Sitta

7. Katibu wa CCM tawi la Boma Village Fatuma Ulaya akipkabidhiwa baiskeli na Kinana

Katibu wa CCM tawi la Boma Village Fatuma Ulaya akikabidhiwa baiskeli na Kinana, ikiwa ni miongoni mwa basikeli 96 walizokabidhiwa Makatibu wa matawi kutoka kwa Samwel Sitta wakati wa mkutano huo.

7. Makatibu wa CCM wa matawi wakiwa na basikeli zao

Makatibu wakiwa na baaiskeli zao baada ya kukabidhiwa na Kinana kwenye mkutano huo.

8. Vijana kwenye lori kumuona Kinana

Vijana wakiwa wamedandia kwenye lori lililokuwa limeegeshwa ili wapate kumuona vizuri Kinana kwenye mkutano huo.

9. Kinana akizindua mradi wa Kina mama wa mashine ya kukamua alizeti, kijiji cha Itundu

Kinana akizindua mradi wa Kina mama wa mashine ya kukamua alizeti, kijiji cha Itundu wilayani Urambo akiwa katika ziara hiyo ya mkoa wa Tabora.

15. Kinana Sitaa wakishiriki ujenzi shule ya sekondari Uyumbi, Urambo

Kinana Sitaa wakishiriki ujenzi shule ya sekondari Uyumbi, Urambo.

9b. shamba darasa

Mnara uliopo kwenye shamba la kituo cha kilimo cha Umwagiliaji wa matone.

11. Kinana akiangalia mhindi kwenye shamba darasa la kilimo cha mwagiliaji kwa matone la Kapilula, Urambo

Kinana akiangalia mhindi kwenye shamba darasa la kilimo cha mwagiliaji kwa matone la Kapilula, Urambo.

12. Kinana akitazama mahindi yanavyopata maji kupitia matone, katika shamba darasa la Kapilula, Urambo

Kinana akitazama mahindi yanavyopata maji kupitia matone, katika shamba darasa la Kapilula, Urambo.

12b. Mama sitta akitazama mhindi katika shamba darasa la kilimo cha umwagiliaji kwa matone, Kapilula, Urambo

Mbunge wa Viti Maalum Mama Margareth Sitta akitazama mahindi yalivyozaa kwenye shamba hilo.

13. Kinana katika wodi ya wazazi ya Yuwilindila

Kinana katika wodi ya wazazi ya Yuwilindila.

14. Muuguzi Mkunga wa Zahanati ya Izenga, akimuonyesha Kinana hifadhi ya dawa

Muuguzi Mkunga wa Zahanati ya Izenga, Urambo mkoani Tabora, akimuonyesha Kinana hifadhi ya dawa.

15.c. Vijana wa Chipukizi wakimchezea paredi maalum Kinana wakati wa mapokezi eneo la Zimbili, Urambo

Vijana wa Chipukizi wakimchezea paredi maalum Kinana wakati wa mapokezi eneo la Zimbili, Urambo.

15b. Kinana akipita katika Vijana wa CCM wakati wa mapokezi eneo la Zimbili, Urambo

Kinana akipita katika Vijana wa CCM wakati wa mapokezi eneo la Zimbili, Urambo.

17. Nape akilakiana na Mama Sitta

 Kinana akilakiana kwa shangwe na Sitta wakati wa mapokezi yake katika kijiji cha Izimbili, Urambo.

18. Madiwani wa CUF wamlaki Kinana

Madiwani kwa tiketi ya CUF, Kandola Nyanda (Kata ya Nsenda) na Kadada Mohamed kutoka Kata ya Usoke ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Afya na Maji katika Halmashauri ya Urambo (Wapili kushoto), wakimsalimia kwa furaha Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, wakati wa mapokezi yake yaliyofanyika Kijiji cha Izimbili Kata ya Usoke, akiingia wilaya ya Urambo kuendelea na ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua kero hizo mkoani Tabora.

21. Kinana na Nape wakisalimia baada ya kukagua Zahanati ya Izengabatogwile

Kinana na Nape wakisalimia baada ya kukagua Zahanati ya Izengabatogwile.

22. Kinana na Nape wakisalimia sungusungu

Kinana na Nape wakisalimia sungusungu wilayani Urambo mkoani Tabora baada ya sungusungu hao kupokea msafara wa Kinana. (Picha na Bashir Nkoromo).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles