Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Rais Kikwete amfariji Jaji Warioba kwa kufiwa na mkwe wake

$
0
0

w1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu alipokwenda kuhani msiba wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014.
w2
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo.
w3
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji wanafamilia bada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,  Oysterbay jijini Dar es salaam leo.
w4
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na Jaji Joseph Warioba na mkewe Mama Evelyne Warioba walipokwenda kuhani na kutoa heshima za mwisho katika msiba wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,   Oysterbay jijini Dar es salaam leo.
w5
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mama Evelyne Warioba  alipokwenda kuhani msiba wa mama yake mzazi Marehemu Hedwig Laurent Ojjik  Oysterbay jijini Dar es salaam leo.(Picha na IKULU).
W6

Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles