Rais Shein amkaribisha Ikulu ya Zanzibar Waziri Chikawe
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akimkaribisha ofisini kwake Ikulu mjini Zanzibar, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe. Waziri...
View ArticleMwelekeo wa Kimbunga cha “Hellen” na hali ya mvua nchini
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) Agnes Kijazi. Ta Arif a 01042014 by zainul_mzige21
View ArticleSamsung Electronics Tanzania continues its war against counterfeit products
The spread of counterfeit goods has become global in recent years. According to the Counterfeiting Intelligence Bureau (CIB) of the International Chamber of Commerce (ICC), counterfeit goods make up 5...
View ArticleWB Supports Tanzania’s Efforts to Strengthen the Business Climate and Make...
The World Bank’s Board of Executive Directors has approved two operations from the International Development Association (IDA*) to help Tanzania strengthen its capacity to manage public expenditures,...
View ArticleRidhiwani kuanza na barabara kisha elimu na afya Tokamisasa
Ridhiwani Kikwete akihutubia wakazi wa kijiji cha Tokamisasa wakati wa mkutano wa kampeni za ubunge zinazoendelea ambapo aliwaambia kuwa atahakikisha tatizo la wakulima na wafugaji kwa kuweka mpango...
View ArticleZiara ya Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Kinana yakumbana na changamoto za barabara...
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akimueleza jambo Mbunge wa jimbo la Nkasi Kaskazini,Mh.Ali Mohammed Kessy,walipokuwa wakitembea kwa miguu kufuatia msafara huo kukumbana na changamoto ya...
View ArticleRais Kikwete awasili Brussels kuhudhuria kikao cha wakuu wa nchi wa nchi za...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewasili Brussels, Ubelgiji leo asubuhi 2 Aprili,2014 kuhudhuria kikao cha siku mbili cha Wakuu wa Nchi wa nchi za Afrika na za Umoja wa Ulaya (EU-Africa Summit). Kikao...
View ArticleMwenyekiti wa Kamati Nambari moja ya Bunge Maalum la Katiba ateta na...
Mwenyekiti wa Kamati Nambari 1 ya Bunge Maalum la katiba, Ummy Mwalimu akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kuongoza kikao cha Kamati hiyo kwenye Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini...
View ArticleOSIEA yatoa wito kuwa na vyombo huru vya habari Jijini Dar
Meneja Mradi wa Asasi ya Kijamii ya The Open Society Initiative For Eastern African Tanzania (OSIEA), Agnes Hanti akiongea wakati wa mafunzo kwa wadau wa Habari nchini juu ya changamoto zinazowakabili...
View ArticleNape:CCM itashinda kwa zaidi ya asilimia 94 uchaguzi Chalinze
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi (CCM) akizungumza na waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo...
View ArticleCall for Proposals
Tanzania Financial Services for Underserved Settlements (TAFSUS) is a Local Finance Facility which provides credit enhancement to Community Driven Settlement Upgrading Projects in the form of...
View ArticleWatanzania takribani milioni 3.3 hutumia huduma za Kibenki : Gavana Benno Ndulu
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Profesar Benno Ndulu akikata utepe kuzindua kitabu cha ripoti ya utafiti Tanzania katika masuala ya uchumi uliofanyika jana Aprili 2, 2014 katika ukumbi wa Makao...
View ArticleMaadhimisho ya Kimataifa ya kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari ya...
Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Dkt. Ben Rugangazi akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam juu ya maadhimisho ya Kimataifa ya kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari ya Rwanda...
View Article‘Missing Malaysia Airlines Flight MH370 plane found in Bermuda Triangle!’...
Viral Facebook posts claiming the missing Malaysia Airlines MH370 flight has been found are pieces of malware and links to fake surveys posted by hackers, who are now profiting from people’s growing...
View ArticleJerry Silaa agawa Dawati 300 kwa shule za sekondari manispaa ya Ilala
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, ambaye pia ni Diwani wa kata ya Gongo la Mboto Jerry Silaa akiwasili kwenye shule ya sekondari Pugu kwa ajili ya kukabidhi madawati 300 kwa shule tatu zilizopo...
View ArticleWinners of Media Awards on Electrical Counterfeiting in Africa announced
Mohammed Saad, President Africa, Schneider Electric. Both winners will be invited to France to receive their prizes Schneider Electric (http://www.schneider-electric.com), the global specialist in...
View ArticleSitta atembelea kamati mbalimbali za Bunge la katiba
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta(katikati) akizungumza na wajumbe wa Kamati namba mbili(2) jana mjini Dodoma alipotembelea Kamati hiyo kujionea maendeleo katika uchambuzi wa sura ya...
View ArticleWauza magazeti wakumbwa na bomoa bomoa jijini Dar es Salaam
Wananchi wakimuangalia mgambo wa Manispaa ya Ilala wakati akichukua magazeti katika moja ya meza Posta mpya jijini Dar es Salaam Aprili 3, 2014 Mkoa wa Dar es Salaam upo katika operesheni kabambe ya...
View ArticleTaasisi ya Brien Holden kuzindua huduma ya upimaji macho na utoaji miwani kwa...
Ofisa Mkazi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Brien Holden Vision, Eden Mashayo akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana kuhisina na uzinduzi wa upimaji macho utakao fanyika Dar es Slaam...
View ArticleMama Kikwete akabidhiwa cheti cha heshima kutokana na kazi anayoifanya ya...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea cheti maalum cha ulezi wa heshima wa Chama cha wenza wa mabalozi wa nchi za Afrika walioko nchini Ubelgiji (Honory Patronese of the Association of the Spouses...
View Article