Wananchi wa mji wa Korogwe waupokea kwa kishindo mpango wa TIKA, wachangia...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Ngalawa akifungua mkutano wa siku ya wadau wa Mfumo wa Afya ya Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi (TIKA) ambapo Lengo la mkutano huo ilikuwa ni kuchukua maoni yao na kuwaeleza...
View ArticleGrand Opening wa Mgahawa wa Kitanzania sasa ni Ijumaa hii Washington DC!
JINA LIMEZOELEKA KWA WATU WOTE. BUT NOW UNDER NEW MANAGEMENT NEWLY RENOVATED RESTAURANT YA KISASA KWA AJILI YAKO TUTAKUWA TUNA DELIVER MAENEO YA KARIBU CARRY OUT PIA KAMA KAWAIDA SUMMER TIME...
View ArticleRais kikwete aanza ziara rasmi Uingereza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini London, Uingereza, kwa ziara rasmi ya siku tatu ya kidola, moja ya ziara nadra sana kufanywa na viongozi wa...
View ArticleSemina ya kuwajengea uwezo Wajumbe Wanawake wa Bunge la Katiba yafanyika...
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Kijinsia Tanzania(TGNP) Usu Mallya akitoa mada leo mjini Dodoma kwa wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba kuhusu uzingatiaji masuala ya haki za wanawake , utu...
View ArticleSerena Hotel yaungana na nchi zingine duniani kuadhimisha Saa za Dunia (Earth...
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Serena Hotel Bw. Seraphin Lusala (katikati)akiangalia moja ya aina ya taa zinazotumia umeme mdogo wakati wa hafla ya Saa za Dunia (Earth Hour) jana jijini Dar es...
View ArticleSpeaker Of East African Legislative Assembly (EALA) Faces Removal From Office!
According to East African Legislative Assembly rules and understandings, the speakership is rotational. As it is, the current Speaker is from Uganda. Her name is Margaret Nantongo Zziwa [in the photo...
View ArticleWanaharakati wamuunga mkono JK kupambana na ujangili
Mgeni rasmi Mwenyekiti wa Chama Cha Msalaba Mwekundi (Red Cross), Dr. George Nangale, akizindua rasmi kampeni ya ‘Save The Elephant’ (Okoa Tembo) kwa niaba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, kama jitihada...
View ArticleHeifer International Tanzania yazindua mradi mkubwa wa kuendeleza sekta ya...
Naibu waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi ambae pia alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo, Mh Kaika Telele akiongea na wageni waalikwa na wadau wa sekta ya Maziwa Afrika Mashariki uliofanyika...
View ArticleVijana wakiri kupotea upinzani
.Ridhiwani ahakikishiwa kura kata ya Mandela .Wananchi wa Chalinze wasema dhihaka zinazotolewa na wapinzani kuisha tarehe 6 .Wafugaji wamuunga mkono. .Wapinzani warudisha kadi kama mvua Mgombea...
View Article‘BIG RESULTS NOW’ yakusanya mabilioni kwa kipindi cha nusu mwaka
Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma, akizungumza wakati wa Semina maalum kwa ‘Mablogger’, iliyofanyika katika Hoteli ya Kilimanjaro Park, Misugusugu Kibaha, Machi 28, 2014. Semina hiyo...
View ArticleHelios Towers launches In-Building Solution (IBS) to strength telecommunication
Helios Towers Chief Executive Officer, Norman Moyo (L) addressing participants the official launching of Helios In Building Solution in Dar es Salaam at the weekend. With him are some of Helios...
View ArticleJapan yasaidia Tanzania bilioni 6 kuinua kilimo
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akitia saini hati ya makubaliano ya msaada wenye thamani ya ziadi ya bilioni 6 unaolenga kukuza sekta ya kilimo uliotolewa na Serikali...
View ArticleDSE yaanzisha shindano litakalowajengea wanavyuo utamaduni wa kweka akiba na...
Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Alexander Ng’winamila akiongea na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaa, Shule ya Biashara (UDBS) hawapo pichani wakati wa...
View ArticleNMB yakabidhi madawati 100 kwa skuli za sekondari Donge, Kitope
Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akipokea Madeski 50 kwa ajili ya skuli ya Sekondari ya Kitope kutoka kwa Meneja wa Tawi la Benki ya NMB Bwana Bakari Khamis Mohd. Na Mwandishi Wetu....
View ArticleYaliyojiri kwenye Bunge maalum la Katiba mjini Dodoma leo
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Betty Machangu na Zakia Maghji wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wakielekea katika vikao vya Kamati vya kupitia vifungu mbalimbali rasimu ya Katiba...
View ArticleUingereza yajivunia kuongoza katika uwekezaji Tanzania
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron alipomtembelea ofisini kwake 10 Downing Street jijini London kwa mazungumzo Machi 31,...
View ArticleKinana alivyotikisa Dar
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wakazi wa Dar es Salaam kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mwembeyanga. Wananchi waliohudhuria mkutano huo,...
View ArticlePitisheni mpango wa TIKA-Magalula
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Magalula Said Magalula akifungua mkutano wa wadau mkoani Geita unatakaojadili mchakato wa uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii ujulikanao kama Tiba kwa Kadi (TIKA). Na Mwandishi...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal apanda mti kuadhimisha siku ya kupanda miti Kitaifa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa Mwembe nje ya Ofisi yake mpya ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya kupanda miti. (Picha na OMR).
View Article13 Watabasam na iPad za Smile
Mkuu wa Mauzo na Masoko wa kampuni ya Smile communications Tanzania, Lawrence Ndimbo akimpigia simu mmoja wa washindi wa promosheni ya Shinda iPad katika droo ya mwisho iliyoendeshwakatika makao makuu...
View Article