Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Yaliyojiri kwenye Bunge maalum la Katiba mjini Dodoma leo

$
0
0

1

Wajumbe  wa Bunge  Maalum la Katiba Betty Machangu na Zakia Maghji wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wakielekea katika vikao vya Kamati vya  kupitia vifungu mbalimbali  rasimu ya Katiba mpya, zoezi  ambalo limeanza leo .

2

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Tundu Lissu akitangaza Kamati ya Uongozi kutoa ratiba itakayoongoza shughuli za Bunge hilo leo mjini Dodoma.

3

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Zakia Meghji(kushoto) na Christopher Ole Sendeka(kulia) wakijadiliana leo mjini Dodoma kabla ya kuelekea katika Kamati zao kwa ajili ya kuanza kupitia rasimu ya Katiba mpya. 

4

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Anne Makinda (kulia) na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Paul Kimiti wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma kabla ya kuelekea katika vikao vya Kamati mbalimbali za kupitia vifungu mbalimbali  rasimu ya Katiba mpya zoezi ambalo limeanza leo .

5

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Anne Makinda (kushoto) na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Namelok Moringe Sokoine (kulia) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma kabla ya kuelekea katika vikao vya Kamati mbalimbali za kupitia vifungu mbalimbali  rasimu ya Katiba mpya zoezi ambalo  limeanza leo .

6

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samia Suluhu Hassan(kushoto) akibadilishana mawazo leo mjini Dodoma na Mjumbe wa Bunge hilo Celina Kombani(kulia) kabla ya kuelekea katika vikao vya Kamati mbalimbali za kupitia vifungu mbalimbali  rasimu ya Katiba mpya zoezi ambalo limeanza leo . 

7

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Anne Makinda (katikati) akisalimia na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Angellah Kairuki(kushoto) leo mjini Dodoma kabla ya kuelekea katika vikao vya Kamati mbalimbali za kupitia vifungu mbalimbali  rasimu ya Katiba mpya zoezi ambalo  limeanza leo . Kulia ni Mjumbe mwingine Nancy Mrikaria.

8

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba James Lembeli (kushoto) na Mchungaji Peter Msigwa (kulia) wakijadiliana leo mjini Dodoma kabla ya kuelekea katika Kamati zao kwa ajili ya kuanza kupitia rasimu ya Katiba mpya. 

9

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta akiondoka katika ukumbi wa Bunge mara baada ya kuharisha kikao cha Bunge leo mjini Dodoma ambao wajumbe wameelekea katika Kamati zao mbalimbali kupitia vifungu vya rasimu ya Katiba Mpya.

10

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Gregory Teu(kushoto) na Hezekeih Chibunje(kulia) wakijadiliana leo mjini Dodoma kabla ya kuelekea katika Kamati zao kwa ajili ya kuanza kupitia rasimu ya Katiba mpya. 

11

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge  Maalum la Katiba Job Ndugai (kushoto) , Mjumbe wa Bunge hilo Vincent Nyerere(katikati) na Mjumbe mwingine Vita  Kawawa(kulia) wakielekea katika ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma kwa ajili ya kuanza vikao.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles