$ 0 0 Mwenyekiti wa Kamati Nambari 1 ya Bunge Maalum la katiba, Ummy Mwalimu akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kuongoza kikao cha Kamati hiyo kwenye Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma Aprili 1, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)