Waziri Chikawe aiwakilisha Tanzania Mkutano wa Mawaziri, nchini Afrika Kusini
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akiwa na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini (CGP), John Minja (kulia) katika Mkutano wa Mawaziri wenye dhamana na Taasisi za Urekebishaji....
View ArticleOfa maalum kwa wateja watakaoagiza kabla bidhaa moja ya Samsung
Mr. Sylvester Manyara (Manager Mobile Samsung Electronics Tanzania) akiwaelezea waandishi wa habari kuhusu pre order ya Samsung Galaxy S5 ambayo imeanza toka tarehe 1st April na inaendelea hadi 10...
View ArticleRwanda: Justice Progress after Genocide
By Damas Makangale, MOblog Tanzania National, International Courts Played Vital Role; Challenges Remain Significant progress has been made in national and international courts to bring to justice...
View ArticleUtekelezaji wa tamko la Serikali kuhusu uendeshaji wa wakala binafsi wa...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Kazi na Ajira Bw. Ridhiwani Wema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo piuchani) kuhusu taarifa za upotoshaji zinazotolewa na baadhi...
View ArticleHow one boy lost a leg to find his feet
Learning to walk: Hamisi and his prosthesis. What happens when a community pulls together to help one of their own? MOblog has followed the remarkable story of a young Tanzanian boy called Hamisi....
View ArticleMhe. Lazaro Nyalandu mgeni rasmi miaka 4 ya Vijimambo Promoting Tanzania...
Vijimambo kwa ushirikiano wa pamoja na Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Jumuiya ya Watanzania DMV wanapenda kukukaribisha kwenye sherehe ya miaka 4 ya Blog ya Vijimambo kwa kutangaza Utalii wa...
View ArticleWorld Bank Launches Children’s Art Contest (ages 7 – 15)
Unleash your creativity! The World Bank invites imaginative Tanzanian schoolchildren aged between 7 – 15 to participate in an art / drawing contest from which the winning work will be featured as the...
View ArticleTigo yafungua tawi jipya mjini Songea
Mkuu wa Wilaya wa Songea Mjini Joseph Mkirikiti akikata utepe kuashiria ufunguzi wa duka jipya la Tigo lililopo mjini Songea mtaa wa Shafi Bora asubuhi ya leo mkoani Ruvuma. Wakishuhudia kutoka...
View ArticleJaji Augustino Ramadhani awataka wajumbe kujadili Rasimu kwa makini
Makamu mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Augustino Ramadhani akiongea jijini Dar es Salaam jana Aprili 3, 2014 katika wa mjadala kuhusiana na umuhimu wa Tanzania kuwa na katiba...
View ArticleYaliyojiri kwenye Bunge maalum la Katiba mjini Dodoma leo
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Askofu Mkuu Mstaafu, Dr. Donald Mtetemela (kushoto) na Spika wa Bunge, Anne Makinda wakiteta Bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)...
View ArticleRidhiwani Kikwete akutana na waandishi wa habari, kuzungumzia mwenendo wa...
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wake wa kuzungumzia mwenendo mzima wa Kampeni...
View ArticleIbada ya kuuombea mwili wa aliyekuwa Askofu wa Kanisa la Anglican Dayoysisi...
Jeneza likiwa na mwili wa aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Dayosisi ya Dodoma Godfrey Mdimi Mhogolo aliyefariki wiki iliyopita nchini Afrika ya Kusini alikopelekwa kwa matibabu likiwa ndani...
View ArticleMamia ya wakazi wa jiji la Mwanza wajitokeza katika usaili wa shindano la...
Jukwaa la Majaji likiwa tayari Kwai shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo Mkoani Mwanza Katika Kanda ya Ziwa. Mafundi Mitambo...
View ArticleTigo yasaidia kukuza vipaji nchini
Kampuni ya simu ya mikononi ya Tigo imeamua kutoa udhamini kwa watoto wa kitanzania wanaocheza mpira wa kikapu, (basketball) kwenda nchini Canada kwa ajili ya mashindano yanayojulikana kama Basketball...
View ArticleDiamond kuwasha Ngololo Houston Texas USA Memorial Weekend May 25
LIMITED ADVANCE TICKETS ONLINE NUNUA YAKO MAPEMA MLANGONI ZITAONGEZEKA….BOFYA WWW.DIAMONDUSATOUR.COM KWA MARA YA KWANZA KABISA SHOW HII ITAFANYIKA KATIKA UKUMBI AMBAO JAY Z,P DIDDY,RICK...
View ArticleMichango Imeshindikana mpendwa wetu Mike Lukindo imebidi achomwe moto...
Mike Lukindo enzi ya uhai wake. Watanzania wa Wisconsin wanapenda kutoa shukurani kwa wote waliojaribu kuokoa kutokuchomwa moto kwa ndugu yetu, mpendwa wetu Mike Lukindo na pamoja na jitihada zote...
View ArticleRasilimali watu na Haki ya Kuzaliwa Tanzania…..Part I
Katika karne iliyopita, wasomi mbali mbali wakiwepo wanauchumi, pamoja na wataalamu wa maswala ya kijamii waligundua umuhimu wa rasilimali watu katika kukua kwa uchumi wa dunia. Kuwepo kwa elimu bora,...
View ArticleTume yaanza utafiti katika mapitio ya mfumo wa sheria unaosimamia haki za walaji
Katibu Msaidizi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. Adam Mambi akiwaeleza waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu Mpango wa kuanza utafiti katika mapitio ya mfumo wa sheria unaosimamia...
View ArticleJapan yatoa msaada wa magari kwa Jeshi la zimamoto na uokoaji
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (kulia) akipokea ufunguo ikiwa ishara ya kukabidhiwa magari matano kutoka kwa Balozi wa Japan nchini, Masaki Okada wakati wa tafrija fupi ya...
View ArticleRidhiwani Kikwete awashukuru Wanachalinze kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza
Mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na mjumbe wa kamati kuu ya CCM Mh. Jerry Silaa wakati wa mkutano wake wa kuwashukuru wananchi wa Chalinze kwa kumchagua kuwa...
View Article