Zanzibar kujengwa Bandari kubwa chini ya Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Muwakilishi wa Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya China yenye Tawi la Ofisi yake Nchini Tanzania Bwana Xu Xinpei. Muwakilishi wa...
View ArticleKinana ahudhuria maadhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akiwa na mwenyeji wake Katibu Mkuu wa Chama Cha RPF-INKOTANYI, Francois Ngarambe baada ya kuwasili mjini Kigali, Rwanda kwenye tafrija ya viongozi wa vyama...
View ArticleMkuu wa Wilaya ya Makete azindua albamu ya nyimbo ya Injili wilayani hapo
Mkuu wa wilaya ya Makete mh Josephine Matiro (kulia) akizindua albamu ya video ya msanii wa nyimbo za Injili Aldo Sanga wilayani Makete, kushoto ni MC wa shughuli hiyo Bi. Happy Ngogo.Picha na Edwin...
View ArticleKongamano na maonyesho ya wanawake Wajasiriamali Tanzania yafana
Kongamano la wanawake Wajasiriamali Tanzania lilofanyika katika ukumbi wa Mbezi Garden Hotel lilifana , mada mbalimbali ziliwasilishwa katika kongamano hilo liliandaliwa na Tanzania Business...
View ArticleMwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akutana na Viongozi wa...
Mhe. Mufti Sheikh Issa Shaaban Simba akimkaribisha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta leo jijini Dar es Salaam wakati alipomtembelea kumuelezea maendeleo ya vikao vya Bunge...
View ArticleBenki ya NBC yazindua Huduma ya Bima ya Bure ya Mkopo jijini Dar
Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Bi. Kemibaro Omuteku (wa tatu kushoto) akiwa na baadhi ya maofisa wa benki hiyo wakionyesha vipeperushi ikiwa ni ishara ya kuzindua huduma ya...
View ArticleWadau wa filamu nchini waaswa kuendelea kupeperusha bendera ya Tanzania...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akitoa hotuba ya ufunguzi wa kikao cha wadau wa filamu kuhusu mstakabali wa soko la filamu nchini leo jijini Dar es...
View ArticleWananchi waaswa kuachana na Matumizi ya Vipimo visivyo Rasmi
Kaimu Meneja Sehemu ya Habari toka Wakala wa Vipimo Bi. Irene John akiwaeleza jambo waandishi wa Habari (hawapo pichani) na kuwatahadharisha wananchi kuhusu matumizi ya vipimo batili unaofanywa kwa...
View ArticleOfisi ya Taifa ya Takwimu yafungua mafunzo ya Uandishi Bora wa taarifa za...
Mgeni Rasmi Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bi. Evelne Itanisa (katikati) akimsikiliza kwa makini mwakilishi wa Wadau wa Maendeleo (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Namna ya Uandishi...
View ArticleSerikali yakanusha taarifa za upotoshaji kuhusu matumizi ya Mashine za...
Kaimu Mkurugenzi Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Julius Mjanga akiwaeleza waandishi wa Habari(Hawapo Pichani) kuhusu Taaarifa za Upotoshaji kuwa matumizi ya...
View ArticleKinana akagua mradi wa maji Kasulu
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasabahi wananchi wa kijiji cha Nyumbigwa ambapo alikagua mradi wa maji. Mbunge wa Viti Maalum Josephine Gezabuke akizungumza na wananchi wakati...
View ArticlePinda akabidhi fedha za ruzuku kwa wachimbaji wadogo wadogo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Bw. Juma Digalu wa Kampuni ya Uchimbaji Mdini ya Mwalazi, hudndi ya Dola za Marekani 50,000 akiwa ni mmoja ni mmoja wa wachimbaji madini wadogowadogo...
View ArticleMnada mkubwa wa vitu vya Ubalozi wa Finland, Royal Danish Embassy na British...
Auction Advert by zainul_mzige21
View ArticleHuduma ya BURE ya kukagua afya kwa waishio DMV, Marekani
Wataalam wa afya DMV (HCP Metro DC) wanatuleta huduma ya afya kwa wale wasiokuwa na bima ya afya. Huduma hii itatolewa kwa usawa bila kujali dini,rangi,umri,uraia au uchumi. Kama una rafiki, ndugu au...
View ArticleTrue Facts
-Antarctica is the only continent without reptiles or snakes. -An eagle can kill a young deer and fly away with it. -In the Caribbean there are oysters that can climb trees. -Intelligent people have...
View ArticleMama Kikwete awataka Wanawake Wajasiriamali kutengeneza bidhaa ambazo soko...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea wakati wa uzinduzi rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live. Na Anna Nkinda – Maelezo...
View ArticleCCM yavuna wanachama wapya Kibao Kasulu
-Zaidi ya watu 700 wajiunga na CCM akiwemo aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF Kata ya Rungwe mpya. -Asema mtaji wa vyama vya Upinzani ni matatizo ya wananchi na hawasaidii katika kuyatatua badala yake...
View ArticleSheria ya gesi inakuja – Kikwete
Rais Jakaya Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi wa kongamano la 19 la mwaka la utafiti liliandaliwa na taasisi ya utafiti nchini REPOA. Rais Kikwete alilisitiza kwamba utafiti nchini kwa...
View ArticleTaarifa na Lugha sahihi: Dhana ya kupunguza madhara ya maafa
Meneja wa kituo cha Kahama FM Redio, Marco Mipawa, akiwakaribisha washiriki na kufungua warsha ya mafunzo ya siku nne ya waandishi wa habari na watangazaji wa Redio Jamii kuhusu kuandika taarifa za...
View ArticleMarufuku Boda Boda na Bajaji za abiria kuvuka Mwenge kwenda Posta
Oparesheni Nzito ya kuzuia Bodaboda na Bajaji zisifanye safari zake kutoka Mwenge na maeneo mengine kuelekea mjini Posta imechukua sura mpya leo baada ya Askari wa Usalama wa Barabarani kuanza...
View Article