Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Mkuu wa Wilaya ya Makete azindua albamu ya nyimbo ya Injili wilayani hapo

$
0
0

DSC_0166

Mkuu wa wilaya ya Makete mh Josephine Matiro (kulia) akizindua albamu ya video ya msanii wa nyimbo za Injili Aldo Sanga wilayani Makete, kushoto ni MC wa shughuli hiyo Bi. Happy Ngogo.Picha na Edwin Moshi, Makete.

DSC_0132

 Mwimbaji mahiri wa nyimbo za injili Happy Kamili akitumbuisha mashabiki waliofika kwenye uzinduzi huo.

DSC_0134

Happy Kamili akiwajibika na wimbo wake mahiri wa Mpango wa Mungu.

DSC_0148

Msanii Aldo sanga ambaye albamu yake imezinduliwa akitoa burudani kwa mashabiki wake waliofika kushuhudia uzinduzi wake.

DSC_0181

Aldo Sanga akiimba wimbo wa Nding’ung’uta ambao umebeba jina la albamu hiyo.

DSC_0203

 Mwimbaji Madosa akiimba nyimbo zake za injili kwenye uzinduzi huo.

DSC_0195

Bi. Suma akiimba mbele ya mashabiki wake katika uzinduzi huo.

DSC_0199

Mwimbaji Kyando naye hakuwa nyuma.

DSC_0208

Kazi mtindo mmoja, Baraka Swallo naye akiimba kwa hisia kwenye uzinduzi huo.

DSC_0167

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akiangalia wimbo wa Nding’ung’uta kupitia televisheni kuashiria kuwa albamu hiyo imezinduliwa rasmi.

DSC_0187


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles