Kongamano la wanawake Wajasiriamali Tanzania lilofanyika katika ukumbi wa Mbezi Garden Hotel lilifana , mada mbalimbali ziliwasilishwa katika kongamano hilo liliandaliwa na Tanzania Business Entreprenuers for Women(TBEW) wakiongozwa na Haika Lawere Mkurugenzi Mtendaji wa Mbezi Garden Hotel.
Kampuni na vikundi vya wajasiriamali zaidi ya 30 vilishiriki maonyesho ya bidhaa na wajasiriamali zaidi ya 100 walishiriki katika semina zilizokuwa zinafanyika sambamba na maonyesho hayo.
Washiriki wakionyesha baadhi ya bidhaa zao.
Bi. Ashura Katunzi Kilewela wa TBS akiongelea umuhimu wa viwango katika bidaa za kitanzania.
Paul Mashauri wa EASB akitoa mada katika kongamano hilo.
Benedict Mwambela, Mkufunzi toka ILO akitoa mada.
Washiriki wa kongamanno ambao walikuwa wakionyesha bidhaa zao.