Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Pinda akabidhi fedha za ruzuku kwa wachimbaji wadogo wadogo

$
0
0

PG4A5940

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Bw.  Juma Digalu wa Kampuni ya Uchimbaji Mdini ya Mwalazi, hudndi ya Dola za Marekani 50,000 akiwa ni mmoja ni mmoja wa  wachimbaji madini wadogowadogo  waliopatiwa ruzuku na serikali kupitia Benki ya TIB. Hafla ya kukabidhi hundi hizo ilifnyika kwenye Chuo cha Madini cha Dodoma Aprili 9, 2014. Kushoto ni Waziri wa Nisahati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Stephen Masele na Kulia ni Mkurugeni wa Benki ya TIB, Peter Noni.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5978

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akiagana na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter muhongo  (katikati) na Mkurugenzi wa Benki ya TIB, Peter Noni (kulia) baada ya kukabidhi  fedha za ruzuku kwa wachimbaji wadogowadogo zilizotolewa na Serikali kupitia Benki ya TIB . Makabidhiano ya hundi za fedha hizo  yalifanyika kwenye Chuo cha Madini mjini Dodoma Aprili 9, 2014. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles