Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa 32 wa Sekta ya Fedha, Soko la Mitaji na Mifuko ya Jamii (CISNA)...

Mgeni rasmi katika Mkutano wa 32 wa Sekta ya Fedha, Soko la Mitaji  na Mifuko ya Jamii (CISNA),Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Peter Ilomo akizungumza wakati akifungua mkutano huo ulioanza jana April...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yajipanga kuondoa ajali za barabarani nchini

Kamanda wa Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani DCP Mohammed Mpinga akiongea na waandishi wa Habari(Hawapo pichani) mikakati ya kupunguza ajali za Barabarani ikiwemo kuongeza matumizi ya Teknolojia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dakika 20 zilizompa maswali na majibu Kinana alipotembelea mpaka wa Tanzania...

.Asimama kwa dakika 20 kuangalia shughuli za kila siku mpakani mwa Tanzania na Burundi, ajiuliza maswali mengi na kupata majibu, atoa ushauri kwa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe. .Ajionea maisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMREF Health Africa Launch Its New Identity

Country Director, AMREF, Dr. Festus Illako cutting the ribbon during the AMREF Health Africa launch new identity. The frame Ceremony held yesterday April 10, 2014 AMREF office in Dar es Salaam,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katiba Mpya: Nimeitafakari Sana Njia Ya Kikwete…

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Ndugu zangu, Naziona ishara za kuendelea kwa mvumo mbaya wa upepo wa kisiasa na hususan inapohusu hoja ya Muungano na muundo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wateja wa Tigo kupata huduma za kibenki kupitia simu zao

Mkuu wa huduma za kifedha wa Tigo, Bwana Andrew Hodgson, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana  na huduma za kibenki kwa wateja wa Tigo. Kulia ni Msemaji wa kampuni ya Tigo Tanzania John...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAMA na Balozi wa Jamuhuri ya watu wa China kufanya ziara mikoa ya kanda ya...

Mkurugenzi wa Uboreshaji Afya Wama, Dkt.Sarah Maongezi (Kulia) akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu ushirikiano uliopo  baina ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huduma za dharura kwa wazazi Kibiti zaokoa maisha ya mama na mtoto

Mratibu wa Mtandao wa Utepe Mweupe Kitaifa (The White Ribbon Alliance), Rose Mlay akimjulia hali mmoja wa akinamama aliyejifungua katika wodi ya wazazi katika Kituo cha Afya Kibiti leo. Mratibu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Innovation Prize for Africa 2014 Finalists Announced

From the World’s First Injectable Skeleton Regeneration Protein to a Domestic Waste Biogas System, Ten Africans Are Innovating the Future of the Continent The African Innovation Foundation (AIF)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Membe akutana na Gavana wa Jimbo la Maryland, Marekani

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na Gavana wa Jimbo la Maryland la nchini Marekani, Mhe. Martin O’Malley walipokutana jijini Washington D.C...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tony Elumelu addresses the Un General Assembly

Tony O. Elumelu, C.O.N., with United Nations Secretary General Ban Ki Moon at the opening of the joint United Nations General Assembly and Economic and Social Council conference on “The role of...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi wasisitizwa kuwekeza katika miradi ya Gesi nchini

Mwandishi wa kitabu kinachoelezea namna watanzania na makampuni ya usambazaji ya hapa Tanzania yanavyoweza kushiriki, kuwezeshwa na kunufaika na sekta ya nishati ya gesi asilia hapa. Bi. Neema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Timu ya Watoto wa Mitaani (TSC) watinga Bungeni mjini Dodoma

  Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Habib  Mnyaa akitoa ufafanuzi  leo kuhusu  maoni  ya  taarifa ya Kamati Namba Moja ya Bunge la Maalum la Katiba.   Mwenyekiti  wa Kamati Namba  Kumi na Moja  ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ruaha imetapika, tunasubiri kisingizio Tanesco!

Mto mdogo Ruaha unaokatiza mpaka kwenye Manispaa ya Iringa ‘umetapika’, au umefurika katika maeneo mengi. Mashamba ya pembezoni mwa mto huo, yamefunikwa na maji na wakulima wengi wanalia. Wenyeji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wamiliki wa Vyombo vya habari watakiwa kuheshimu taaluma ya habari

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene akizungumza na Baadhi ya Wafanyakazi wa chumba cha habari cha Clouds Media wakati wa Ziara ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari kwenye Vyombo vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pinda aandaa Chakula kwa Timu ya watoto waishio katika mazingira magumu

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea  kutoka kwa nahodha msadidizi wa timu ya soka ya Tanzania  ya Watoto wa Mitaani, Frank William, kombe ala ubingwa wa dunia wa soka la watoto wa Mitaani wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mapinduzi makubwa yafanyika kwenye biashara ya mtandao

Kwa mara nyingine napenda kuwashirikisha mtandao wa kitanzania ulio na nia ya kuwakomboa wafanyabiashara wadogo,wa kati na wakubwa katika kuwafikia wateja wao kwa ukaribu zaidi. Pia  kupitia mtandao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kinana ampongeza JK kwa kazi nzuri

-Ampongeza kwa ujenzi wa madaraja matatu makubwa, Daraja la Malagarasi,Kilombero na Daraja la Kigamboni. -Ujenzi wa Sekondari za Kata -Nape awaambia wakazi wa kijiji cha Mahembe wachague viongozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo shwaaaari -ufunguzi wa Safari Restaurant Washington DC April 11-...

SAFARI MPYA KAMA INAVYOONEKANA KATIKA PICHA ELEVATED TO THE STANDARD MDAU AKISOMA MENYU-CHAGUA KUKAA NDANI AU NJE NI WEWE TU  SIKU YA UFUNGUZI ILIENDA VIZURI WAMAREKANI NA WAAFRIKA WAJUMUIKA PAMOJA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CRDB yaipiga jeki ubalozi wa Tanzania Marekani kwa ajili ya maandalizi ya...

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe/ Liberata Mulamula akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Dr. Charles Kimei (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bwn. Martin Mmari kwenye...

View Article
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live