Watu 2 wapoteza maisha kwenye ajali ya basi la Smart eneo la Lugoba leo asubuhi
Basi la Smart likiwa limepinduka eneo la Lugoba. Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amepoteza fahamu baada ya kupata mshtuko. Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi la Smart Asubuhi...
View ArticleSeif Sharif Hamadi amtembelea mtangazaji wa Radio Noor FM Mnazi Mmoja...
Aboubakar Fakih Mtangazaji wa Radio Noor FM 93.3 na nimuajiriwa wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Pichani akiwa Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja kwa matipabu ambapo amepata Ajali na kukatika mguu mmoja...
View Article[AUDIO] DAKIKA 90 ZA DUNIA: Maadhimisho ya Kwibuka20, Washington DC
Wiki kama hii, miaka 20 iliyopita, nchi ya Rwanda ilishuhudia kuanza kwa mauaji ambayo kwa siku 99 zilizofuata, yaliacha historia mbaya na ambayo itaendelea kukumbukwa na vizazi vijavyo. Ndani ya siku...
View ArticleKinana ahutubia bila kujali Mvua Kigoma
-Asisitiza Umoja na Mshikamano Kigoma -Asema ahadi zote zitatekelezwa -Awataka Viongozi wa CCM kufanya mikutano mingi na wanachama na wananchi kwa jumla -Nape afundisha Umma Demokrasia ya kweli,...
View ArticleUpdates: Matengenezo ya kurejesha wawasiliano ya barabara kati ya Dar –...
Sehemu ya barabara iliyoomole katika Daraja la Mpiji kwenye barabara ya Dar es Salaam Bagamoyo. Mawasiliano ya barabara kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo yamejifunga kutokana na barabara hiyo...
View ArticleMakamu wa Rais afanya ziara ya kukagua athari za mafuriko Dar na maendeleo ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Eng. Mussa Iombe, sehemu ya Daraja la Mpiji linalounganisha Bagamoyo na...
View ArticleMkurugenzi Mkuu wa Tanzania Women’s Bank Margareth Chacha akutana na wakina...
Mama Anna Mukami akiwakaribisha wakina mama wa DMV na kumtambulisha mkurugenzi mkuu wa Tanzania Women’s Bank wakati Ms Margareth Chacha alipokutana na wakina mama DMV na kuwaelezea sababu za...
View ArticleJk atembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko Mkoa wa Pwani
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mmoja wa baadhi ya abiria waliokwama baada ya barabara ya Chalinze-Dar es Salaam kuharibiwa vibaya na mafuriko. Rais akisalimiana na kuzungumza na...
View ArticleBreaking News…Bomu lalipuka na kujeruhi watu kadhaa Arusha Night Park usiku huu
Habari za kuthibitika kutoka chanzo chetu kinasema watu wasiofahamika wamerusha kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la mkono (Granade) kwenye Bar maarufu jijini Arusha inayofahamika kwa jina la Arusha...
View ArticleSamsung yazindua simu mpya ya Galaxy S5 ikilenga mambo muhimu ya wateja wake
Meneja wa Simu za mkononi wa Samsung Tanzania , Bw. Silvester Manyara, akiwaonyesha waandishi wa habari jinsi simu mpya inavyopima mapigo yake ya moyo. Pembeni yake ni Bw. Kishor Kumar, Meneja wa...
View ArticleStandard Bank Group wins numerous Global Finance and EMEA Finance accolades
Stanbic Bank Tanzania Ltd is a member of the Standard Bank Group. Standard Bank Group has been chosen as the Best Bank in Africa by Global Finance magazine. In addition, Standard Bank Group received...
View ArticleJamii imetakiwa kutumia vyakula vinavyopatikana katika mazingira...
Afisa kutoka Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Bw. Valerian Vitalis Kidole, akiendesha mafunzo ya siku nne ya wanahabari na watangazaji wa redio jamii yaliyofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la...
View ArticleYanayojiri Dodoma…Asilimia kubwa ya wajumbe waunga mkono Serikali mbili
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Msemaji wa walio wachache wa Kamati namba saba Freeman Mbowe akitoa ufafanuzi wa maoni ya walio wachache leo mjini Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalum la...
View ArticleMamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakutana na Wahariri wa vyombo vya...
Afisa habari wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bestina Magutu( kulia)akiwa tambulisha Wakurugenzi wa Mamlaka hiyo kwa wahariri wa vyombo vya Habari nchini katika mkutano uliofanyika...
View ArticleIkulu yaja juu kuhusu Hati ya Muungano
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Yohana Sefue. TAMKO LA KATIBU MKUU KIONGOZI KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HATI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR IKULU, DAR ES SALAAM, TAREHE 14 APRILI, 2014 Siku...
View ArticleNitetee Foundation yazinduliwa rasmi Jijini Mwanza kutetea Wanawake na Watoto...
Mama Tizeba (kulia), Mke wa Naibu Waziri wa Uchukuzi ambae alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa taasisi ya Nitetee wakifungua kwa pamoja pazia na Bi Flora Lauwo (kushoto), Mkurugenzi na Muasisi wa...
View ArticleTanzania’s First Chartered Architect- Anthony Bosco Almeida
Anthony Bosco Almeida in an exclusive interview with the MOblog Chief’s Editor Damas Makangale at his compound Oysterbay in Dar es Salaam. By Damas Makangale, MOblog Tanzania When the Managing...
View ArticleBMTL yabadili jina la kibiashara na kuwa Copy Cat rasmi
Afisa Mtendaji Mkuu wa BMTL, Copy Cat, Bw Mike Holtham akizungumza na mmoja wa wageni waalikwa katika sherehe hizo za kuzindua jina jipya nchini na kuzungumza na wateja wao. .Yapata Afisa Mtendaji...
View Article