Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Watu 2 wapoteza maisha kwenye ajali ya basi la Smart eneo la Lugoba leo asubuhi

$
0
0

unnamed

Basi la Smart likiwa limepinduka eneo la Lugoba.

unnamed (1)

Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amepoteza fahamu baada ya kupata mshtuko.

unnamed (2)

Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi la Smart Asubuhi ya leo.

Basi Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa Nchini Kenya Limeacha Njia Na Kupinduka na Kusababisha Vifo vya watu Wawili pamoja na Kujeruhi abiria wanaokadiriwa kufika 20 .Ajali hiyo imetokea katika Eneo la Mkata na Lugoba  Barabara Kuu ya Chalinze Segera.PICHA NA HABARI NA DJ SEK BLOG


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles