Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Jk atembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko Mkoa wa Pwani

$
0
0

unnamed (17)

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mmoja wa baadhi ya abiria waliokwama baada ya barabara ya Chalinze-Dar es Salaam kuharibiwa vibaya na mafuriko.

unnamed (18)

Rais akisalimiana na kuzungumza na wanafunzi na mtoto aliyemfuata na kumsalimia.

unnamed (19)

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete wakikagua athari za mafuriko maeneo ya Ruvu Darajani na Visiga.

unnamed (20)

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza wakikagua athari za mafuriko zilizoharibu vibaya barabara ya Chalinze- Dar es Salaam eneo la Ruvu Darajani leo.Mamia ya abiria walikuwa wamekwama kutokana na mafuriko hayo.

unnamed (22)

Baadhi ya sehemu zilizoathiriwa na mafuriko. (Picha na Freddy Maro).

unnamed (23)


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles