Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Mambo shwaaaari -ufunguzi wa Safari Restaurant Washington DC April 11- Ahsanteni Sana DMV !

$
0
0
SAFARI MPYA KAMA INAVYOONEKANA KATIKA PICHA
ELEVATED TO THE STANDARD
MDAU AKISOMA MENYU-CHAGUA KUKAA NDANI AU NJE NI WEWE TU 

SIKU YA UFUNGUZI ILIENDA VIZURI
WAMAREKANI NA WAAFRIKA WAJUMUIKA PAMOJA 
WAKENYA NA WATANZANIA NDANI YA NYUMBA
KINADADA WA DC WAKIPATA MENYU KWA NJE

MAKAMANDA WA DC WALIWAKILISHA VYEMA UFUNGUZI

Management Mpya ya Safari Unapenda kutoa Shukrani kwa wale wote walioweza Kupata nafasi ya kufika katika siku hii ya ufunguzi wa New Safari Restaurant DC,”Words can not Explain”

Bila kuwasahau wale ambao walishindwa kufika kwenye siku hii ya ufunguzi tunapenda kuwakaribisha pindi mpatapo nafasi kwani sasa tunafungua kila siku kasoro jumatatu tu.

LADIES AND GENTLEMEN SAFARI IS NOW OPEN FOR BUSINESS.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles