Kwa mara nyingine napenda kuwashirikisha mtandao wa kitanzania ulio na nia ya kuwakomboa wafanyabiashara wadogo,wa kati na wakubwa katika kuwafikia wateja wao kwa ukaribu zaidi. Pia kupitia mtandao huu utaweza kutangaza chochote unachopenda umma ujue kwani tumethibitika kuwafikia watanzania wengi kwa siku pia hata watembeleaji wengi zaidi toka nchi za nje.
Timu ya KAJO ITECH Kwa umakini mkubwa itaendesha mtandao huu wa CHOCHOTE pia kufanikisha kuwa ndio suluhisho kwa watanzania wengi kupata chochote wanachotaka kwa wakati iwe ni AJIRA,NYUMBA,VIFAA VYA UMEME,SCHOLARSHIP,VIFAA VYA UREMBO ,VIWANJA,FURNITURE,SIMU ,MAGARI NA VINGINE VINGI.
ILI KUFAIDI HAYA YOTE uanchotakiwa kufanya ni kutembelea website hii link; www.chochote.co.tz na utaweza kufungua akaunti yako na kuanza kuweka matangazo yako BUREE KABISA kwa chochote unachotakiwa kuuuza au kununua.
pia like facebook yetu ambayo ni https://www.facebook.com/