Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Wateja wa Tigo kupata huduma za kibenki kupitia simu zao

$
0
0

DSC03177 (FILEminimizer)

Mkuu wa huduma za kifedha wa Tigo, Bwana Andrew Hodgson, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana  na huduma za kibenki kwa wateja wa Tigo. Kulia ni Msemaji wa kampuni ya Tigo Tanzania John Wanyanja.

DSC03188 (FILEminimizer)

Msemaji wa kampuni ya Tigo Tanzania John Wanyanja, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.

Kampuni ya Tigo  imeingia katika ushirikiano na mabenki makubwa 17 nchini ili kuwapatia wateja wa Tigo pesa uwezo wa kutuma na kupokea pesa kutoka katika akaounti zao za benki kwenda kwenye simu za mikononi.

Mkuu wa huduma za kifedha wa tigo Bwana Andrew Hodgson amesema, huduma hii mpya iliyozinduliwa inatarajia kutimiza malengo yetu ya kuwapatia wateja maisha ya kidigitali kwa kupata huduma za kibenki kutoka sehemu yeyote walipo kupitia simu zao za mikononi.

huduma hii mpya inatarajia kuwapa wateja usalama wa kifedha pamoja na kuepuka kutembea umbali mrefu kutafuta huduma ya kutoa na kuweka pesa.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Latest Images

Trending Articles



Latest Images