Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Ridhiwani Kikwete awashukuru Wanachalinze kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza

$
0
0

1

Mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na mjumbe wa kamati kuu ya CCM Mh. Jerry Silaa wakati wa mkutano wake wa kuwashukuru wananchi wa Chalinze kwa  kumchagua kuwa mbunge wao  uliofanyika katika Uwanja vya Miembe saba, Tume ya taifa ya Uchaguzi imemtangaza Mh.Ridiwani Kikwete  kuwa mshindi katika uchaguzi uliofanyika juzi Aprili 6.(PICHA NA FULLSHANGWEBLOG).

3

Mke wa mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Bi. Arafa Ridhiwani akiwasalimia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Bwilingu uwanja wa Miembe Saba Chalinze jana.

6

Mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Mh Ridhiwani akiwashukuru wananchi wa Chalinze baada ya kumchagua kuwa mbunge wao katika uchaguzi uliofanyika jana jimboni humo.(PICHA NA FULLSHANGWEBLOG).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles