Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Yaliyojiri kwenye Bunge maalum la Katiba mjini Dodoma leo

$
0
0

PG4A5271

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Askofu Mkuu Mstaafu, Dr. Donald Mtetemela  (kushoto) na Spika wa Bunge, Anne Makinda wakiteta Bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A5293

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba  na Waziri wa Ujenzi, John Magufuli akiapa Mabele ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu (kushoto), Bungeni Mjini Dodoma.

PG4A5332

Wajumbe wa Bunge Maalum la katiba, Waziri Mkuu, Msaafu, Edward Lowassa  na Joshua Nasari  wakiteta, Bungeni mjini Dodoma.

PG4A5364

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa (kulia) na Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Ibrahim Lipumba wakiteta, Bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles