Makamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria, Youcef Yousfi, aliyeongozana na Ujumbe wake kutoka Kampuni ya...
View ArticleWaziri wa Habari Dkt. Fenella Mukangara azindua Baraza Jipya la Kiswahili
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt.Fenella Mukangara akitoa hotuba kwa wajumbe wa Baraza jipya la Kiswahili na kulitaka Baraza hilo kuendelea kushirikiana na vyombo vya habari katika...
View ArticleMaaskofu wamtembelea Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi nyumbani kwake Zanzibar
Mratibu wa Dua Maalum ya kuiyombea Zanzibar kwa ajili ya mwaka mpya wa 2014 Allen Mbaga akizungumza na Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi walipomtembelea na kumuombea...
View ArticleStory: Stay Sharp
Once upon a time a very strong woodcutter asked for a job in a timber merchant, and he got it. The pay was really good and so were the work conditions. For that reason,the woodcutter was determined to...
View ArticleMaeneo ya skuli ni maalum kwa ajili ya kuendeleza vijana kielimu – Balozi...
Jengo la Skuli mpya ya Ghorofa ya Mpendae lililofunguliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ikiwa ni muendelezo wa shamra shamra za maadhimisho ya sherehe za mapinduzi ya...
View Article100 k-pound Crane Smashed The House
A 100,000-pound crane fell down on the house while removing a tree and smashed it like a dollhouse. Fortunately no one was injured. If it is your house, what will you do????
View ArticlePinda akutana na Waziri wa Nishati wa Algeria
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini wa Algeria, Youcef Yousif (kuilia kwake) na Ujumbe wake,Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 8,2013. Kushoto kwake ni...
View ArticleUS Chargé d’Affaires pays visit to the Ministry of Foreign Affairs
Hon. Dr. Mahadhi Juma Maalim, Deputy Minister for Foreign Affairs and International Co-operation greets Ms. Virginia Blaser, Chargé d’Affaires of the Embassy of the United States of America to the...
View ArticlePolisi Arusha yazidi kuimarisha vikundi vya Ulinzi Shirikishi
Mkuu wa Kitengo cha Polisi Jamii mkoa wa Arusha, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Mary Lugola akimkabidhi kizibao mmoja wa walinzi wa kikundi cha Ulinzi Shirikishi cha Muklati kilichopo Ngaramtoni...
View ArticleProf.Elisante Ole Gabriel aanza ziara ya kutembelea shughuli za maendeleo ya...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel akimweleza Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Bi.Beatha Swai(kushoto) Mipango na mikakati mbalimbali ya wizara...
View ArticleKisomo cha Marehemu Zainab Buzohera DMV
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Iddi Sandaly akiongea kwenye kisomo cha mpendwa wetu Zainab Buzohera kulichofanyika jana Jumanne Jan 7, 2013 katika ukumbi wa mirage uliopo Langeley Park,...
View ArticleMagonjwa ya mlipuko yanukia Dar
Picha juu na chini ni magari ya kuzolea taka ngumu ya kampuni mbalimbali yakiwa kwenye foleni ya kuingia Dampo la Pugu Kinyamwezi ambalo miundo mbinu yake ni mibovu na kupelekea zoezi hilo kuchukua...
View ArticleRatiba ya Matembezi ya hiyari kwamiguu Dar mpaka Moro yakamilika
Mratibu wa matembezi ya Dar mpka Moro Bw, Matukio Chumaa akiwa kwenye muonekano wa picha. .NCHI YANGU; WAJIBU WANGU 11.01.2014 (takribani 200km)Dar es Salaam mpaka Morogoro. Ndugu zangu Watanzania,...
View ArticleMeet The Brazilian Man Who Thinks He Is Jesus Christ
Meet 66-year-old Brazilian man Inri Cristo who believes he is the reincarnation of Jesus Christ. Inri dresses like Jesus, says his mission is to prepare the elect for the formation of the new earthly...
View ArticleYanga yaomba radhi kwa kutoshiriki kombe la Mapinduzi
Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Soka ya Yanga ya Jijini Dar es salaam Clement Andrew Sanga akiomba radhi kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Kamati ya Mashindano ya Mapinduzi Cup kwa...
View ArticleWhy do Western media get Africa wrong?
A lot of very important nuance gets lost in translation when reporting on Africa [AP]. There are fundamental differences in how Western and African media cover African events. By Nanjala Nyabola...
View ArticleMandela’s death not affects S. African future political developments: experts
By Special Correspondent The death of former president Nelson Mandela “will not pose” an impact on South African future political direction and developments, analysts said on Saturday. In an interview...
View ArticleThe Institute of Accountancy Arusha (IAA) and TPDF signed MoU to equip...
The Command and Staff College (CSC) Commandant Major General Kyunga signs a document of Memorandum of Understanding (MoU) in Arusha today to allow military personnel with the necessary skills and...
View ArticleMahakama Nkasi yalalamikiwa kuvunja Ndoa yenye Mgogoro bila kugawanya mali
Maria Tarafa (wa kwanza kushoto) akiwa na watoto wake wanne aliozaa na Ndebile Kazuri akiwa amekaa kwenye kifusi cha sehemu ya nyumba anayokaa, mumewe ameibomoa nyumba hiyo ili kumfukuza eneo hilo. Na...
View ArticleProf. Elisante Ole Gabriel aendelea na ziara Katika Mkoa wa Pwani
Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Kibaha Bi.Tatu Suleiman akimweleza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel(mwenye shati Jeusi) makusudio yao ya...
View Article