Right Where You Are
Start where you are, and do what you can. Make use of what you have, in the time available to you, and there’s much you can get done. Don’t waste your time waiting for conditions to be perfect, for...
View ArticleTanzania Freight Forwarders Association visit the Ministry of Foreign Affairs
Hon. Dr. Mahadhi Juma Maalim (MP) (left-seated), Deputy Minister for Foreign Affairs and International Co-operation today met with the members of the Tanzania Freight Forwarders Association and the...
View ArticleSerengeti Breweries Ltd Yawazawadia Wateja LCD TV
Meneja wa Vinywaji Vikali toka Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries (SBL), Azda Aman akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kukabidhi zawadi kwa wateja wa kinywaji hicho...
View ArticleRais Kikwete na Makamu Dkt. Bilal wawaongoza Wananchi kutoa Heshima za mwisho...
Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, marehemu Dkt. William Mgimwa, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo...
View ArticleUjumbe Maalum kutoka kwa Shigongo
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo. Hiki ndicho ninachokifahamu mimi ndugu yenu. Maisha ni vita, maisha ni mapambano na mtindo pekee wa kukusogeza mbele ni kupigana! Hata uwe mwema kiasi...
View ArticleWaziri Mkuu Pinda apokea mwili wa Dkt. Mgimwa Iringa
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Jane Kakingo Mgimwa, mjane wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa baada ya mwili wa marehemu kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli Iringa Desemba...
View ArticleRais Kikwete afungua Hospitali ya KMKM Kibweni, Zanzibar
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar Desemba 4, 2014. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kama ishara ya ufunguzi...
View ArticleWana-DMV wachangisha Dola 22,938 harambee ya mpendwa wao Zainab Buzohera
Mume wa marehemu Dullah na mdogo wa marehemu Ngalu Buzohera wakiwa kwenye harambee ya kuchangisha fedha za kusaidia kusafirisha mwili wa mpendwa wetu marehemu Zainab Buzohera aliyefariki Jumamosi Jan...
View ArticleMaamuzi ya kamati kuu ya Chadema kuwavua uanachama Dkt. Kitila na Mwigamba
Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt, Wilbrod Slaa. PRESS Maazimio Ya Kamati Kuu Jan 2014 by zainul_mzige21
View ArticleIGP mpya akutana rasmi na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi leo,...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Ernest Mangu (kushoto) akimfafanulia jambo Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kulia) kuhusiana na masuala mbalimbali ya uboreshaji...
View ArticleJinsi Mbwa 120 walivyomtafuna mjomba wa kiongozi wa Korea ya Kaskazini
.walimvua nguo na kumtupa kwenye ngome ya Mbwa wenye njaa 120 .Rais Kim Jong Un alikataa mjomba wake kunyongwa bali kuliwa na mbwa akiwa uchi wa mnyama .kiongozi huyo na viongozi wengine 300...
View ArticleWatanzania DMV watowa pole kwa wafiwa
Rafiki wa mpendwa wetu Catherine Nyongole akishindwa kujizuia mara tu alipomuaona mdogo wa marehemu Ngalu Buzohera alipofika nyumbani kwa marehemu kutoa pole na kujumuika nao katika kipindi hiki...
View ArticleRais wa Zimbabwe Robert Mugabe azirai ghafla – Ripoti
Rais wa Zimbabwe, Bw. Robert Mugabe. Na.MOblog kwa msaada wa mtandao. Mtu kutoka ndani ya chama tawala cha serikali ya Zimbabwe amesema kuwa kiongozi wa muda mrefu na rais wa taifa hilo la Afrika,...
View ArticleWizara ya habari visiwani yaombwa kuimarisha michezo wilayani
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiweka jiwe la msingi la jengo la michezo ya ndani liliopo pembezoni mwa uwanja wa michezo wa Gombani Chake Chake Kisiwani Pemba ikiwa ni...
View ArticleRais Kikwete aongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Dkt. William Mgimwa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe Mama Salma Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga Marehemu William Mgimwa kijijini...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal apokea Sarafu ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Meneja wa Sarafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Jovent Rushaka (katikati) na Mshauri wa masuala ya Sarafu,...
View ArticleAfrica must do more to tackle the threat of unemployment – Tony Elumelu
Tony Elumelu, the entrepreneur, philanthropist and chairman of Heirs Holdings Limited (http://www.heirsholdings.com), a pan-African investment company, argues that Africa must do more to tackle the...
View ArticleUbovu wa Barabara eneo la viwanda vya kusaga na kukamua mafuta eneo la SIDO...
Hii dimbwi ambalo maji yametuama na kutunza uchafu Barabara iendayo kutokea uwanja wa zamani wa ndege mbeya ukiwa umejaa maji Maji yakiwa yamezunguka stoo za wafanya biashara eneo la viwanda sido...
View Article20 Out of 89 ways to Avoid Divorce!
Marriage is tough on both men and women, and living with another person for years in the same house while facing the challenges of raising children, financing your life, working and dealing with...
View ArticleWanafunzi bora wa masomo ya sayansi waenda Ireland
Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Ireland nchini, Rita Bowen (wa pili kushoto) akikabidhi zawadi kwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ilongelo ya Singida, Jafari Ndagula mmoja wa washindi wawili wa...
View Article