Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

IGP mpya akutana rasmi na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi leo, wakubaliana kuboresha huduma za Jeshi la Polisi

$
0
0

PIX 1

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Ernest Mangu (kushoto) akimfafanulia jambo Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kulia) kuhusiana na masuala mbalimbali ya uboreshaji wa jeshi hilo. Wapili kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mwamini Malemi na Naibu Inspekta Generali wa Polisi, Abdulrahman Kaniki. IGP Mangu pamoja na Naibu wake walikutana na Katibu Mkuu ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani.

PIX 2

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kulia) akimfafanulia jambo Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Ernest Mangu (kushoto) kuhusiana na masuala mbalimbali ya uboreshaji wa jeshi hilo. Wapili kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mwamini Malemi na Naibu Inspekta Generali wa Polisi, Abdulrahman Kaniki. IGP Mangu pamoja na Naibu wake walikutana na Katibu Mkuu ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani.

PIX 3

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kulia) akiagana na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Ernest Mangu baada ya mazungumzo yao kuhusiana na masuala mbalimbali ya uboreshaji wa jeshi hilo. Wapili kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mwamini Malemi na Naibu Inspekta Generali wa Polisi, Abdulrahman Kaniki. IGP Mangu pamoja na Naibu wake walikutana na Katibu Mkuu ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles