Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Rais Kikwete afungua Hospitali ya KMKM Kibweni, Zanzibar

$
0
0

kib1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar Desemba 4, 2014.

kib2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar.

kib3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali baada ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar.

kib4

Askari wakakamavu wa kike wa KMKM wakiwa wamesimama kumlaki Rais Jakaya Mrisho Kikwete  alipowasili kwenye ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar.(PICHA NA IKULU).
kib5

Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles