Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria, Youcef Yousfi, aliyeongozana na Ujumbe wake kutoka Kampuni ya Sonatrach na Sonalegaz za nchini Algeria, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa mazungumo leo Jan 7, 2014. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria, Youcef Yousfi (wa kwanza kushoto kwake) aliyeongozana na Ujumbe wake kutoka Kampuni ya Sonatrach na Sonalegaz za nchini Algeria, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa mazungumo leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Kampuni ya Sonatrach na Sonalegaz za nchini Algeria, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria, Youcef Yousfi, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jan 7, 2014. Kulia ni Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Mhongo. (Picha na OMR).