Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Prof.Elisante Ole Gabriel aanza ziara ya kutembelea shughuli za maendeleo ya vijana Mkoa wa Pwani

$
0
0

IMG_0946

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel akimweleza Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Bi.Beatha Swai(kushoto) Mipango na mikakati mbalimbali ya wizara katika kuhakikisha wanawaendeleza vijana na kumtaka Katibu Tawala huyo kuendeela kuratibu shughuli za kimaendeleo kwa vijana.

IMG_0977

Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Bi.Beatha Swai Akimweleza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel Prof.Elisante Ole Gabriel mipango mbalimbali ya kuwaendeleza vijana kimaendeleo ikiwamo kuanzisha chombo cha kusimamia maendeleo kwa vijana cha Pwani Youth Centre of Excellence(PYCE) wakati wa ziara ya Kuangalia utekelezaji wa Miradi mbalimbali inayotekelezwa na vijana katika Mkoa wa Pwani leo.

IMG_0941

Afisa Elimu Mkoa wa Pwani Bw.Yussuph Kipengele akiteta jambo na Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Bi.Beatha Swai wakati wa ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel katika Mkoa wa Pwani Kuangalia utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya vijana katika Mkoa wa Pwani.

IMG_0986

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel Prof.Elisante Ole Gabriel na Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Bi.Beatha Swai wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kutoka katika mkoa wa Pwani wakati wa ziara kutembelea Miradi mbalimbali inayotekelezwa na vijana katika Mkoa wa Pwani leo, katika Ofisi ya katibu Tawala Mkoani Pwani.(PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO).

 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles