Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Pinda akutana na Waziri wa Nishati wa Algeria

$
0
0

IMG_0080

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini wa Algeria,  Youcef Yousif (kuilia kwake)  na  Ujumbe wake,Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba  8,2013. Kushoto kwake ni Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter  Muhongo   (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles