Jumuiya ya Bango Sangho watoa huduma za afya bure Kibugumu
Dk Hamza Mzige kutoka Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe akimpima moja ya mtoto aliyeletwa kupata huduma katika zoezi hilo lililoendeshwa eneo la Kibugumu Kigamboni jijini Dar es Salaam. Mratibu wa huduma...
View ArticleMama Maria Nyerere ni mzima wa afya, taarifa za kifo zipuuzwe
Wasomaji wa Mo dewji blog mnaoendelea kuperuzi mtandao huu ni kwamba taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii (Sio Mo dewji blog) zinazomuhusisha Mama Maria Nyerere. ‘SI ZA KWELI...
View ArticleChakula cha kuzuia kuzeeka haraka
Maisha ya sasa hivi yamegubikwa na matumizi ya vipodozi vya kuzuia uzee hadi kufikia kiwango cha kuonekana kama ni chakula kuliko vitu vya urembo. Vipodozi hivyo huja kama creams, visafisha ngozi au...
View ArticleTAHARIRI YA MO DEWJI BLOG: Watanzania tuwe na huruma! Imetosha sasa
Mwandishi Andrew Chale wa MO DEWJI BLOG akiwa na baadhi ya watoto wenye albinism. Na Andrew Chale wa modewjiblog Miongoni mwa taarifa ambazo mtandao huu wa habari wa Mo dewji blog, ilizozipata usiku...
View ArticleKampuni ya Serengeti yatoa mafunzo kwa wahudumu wa Bar kwa mikoa ya Tanzania...
Meneja wa chapa wa vinywaji vikali wa Serengeti Breweries Limited, Shomari Shija (wa nne kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). ..Diaegeo Master Bar Academy (MBA) kwa udhamini...
View ArticleMfumuko wa bei waongezeka kidogo kutoka asilimia 4.0 mwezi Januari, 2015 hadi...
Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Epraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) akizungumza na Waandishi wa Habari jana jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya kuongezeka kwa...
View ArticleUNESCO, TIE na OUT wafadhili kozi kuboresha mitaala ya elimu Afrika
Ofisa mwakilishi wa Naibu Waziri wa Elimu, Anne Kilango Malecela akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa programu hiyo ya uboreshaji mitaala. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania, Profesa Tolly...
View ArticleZiara ya Kinana jimbo la LUSINDE
Mbunge wa Jimbo la Mtera Ndugu Livingstone Lusinde akielezea maendeleo ya ujenzi wa Shule ya msingi Lowasa kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika kijiji cha Muungano wilaya ya...
View ArticleEU, UN wafagilia juhudi za kuboresha hali za wanawake Tanzania
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akitoa salamu za Umoja wa Mataifa kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya...
View ArticleJerry Silaa awaaga watumishi wa Manispaa ya Ilala wanaoenda kuongeza ujuzi...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akipeana mkono wa kuagana na Mganga Mfawidhi wa zahanati ya Chanika Dk Betha Sanga ambaye pamoja na watumishi wengine sita wa afya wa Manispaa hiyo...
View ArticleWatanzania tupuuze habari za Uongo, uzushi, Ukipata ujumbe wa chuki, matusi...
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog Wasomaji wa Mo dewji blog mnaoendelea kuperuzi mtandao huu bila shaka ni wazima wa afya, tunashukuru uwepo wenu na kutembelea kwenu kwenye mtandao huu ndio faraja...
View ArticleRais ajiuzulu ni baada ya kikao kizito Dodoma kufuatia mgongano wa kimaslai...
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog Rais wa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania (Tanzania Red Cross Society-TRCS), Dk. George Nangale (pichani), kwa habari zilizotufikia chumba cha Habari cha Mo dewji...
View ArticleMkuu wa wilaya Kinondoni afanya ziara hospitali ya Mwananyamala na Palestina...
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiongea na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Palestina, Dkt. Benedicto Luoga iliyopo Sinza jijini Dar es Salaama mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana...
View ArticleAUDIO: Jaji Lubuva akanusha vikali taarifa ya gazeti ‘Mkandarasi wa mashine...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damiani Lubuva akitoa kanusho kuhusiana na Mkandarasi wa BVR kugoma kuleta vifaa, achachamaa kutokana na habari iliyoandikwa na gazeti la...
View Articleflydubai increases frequency on African routes for summer schedule
*With the additional flights to Alexandria, Bujumbura, Juba and Zanzibar, airline will operate 78 flights a week to Africa Dubai-based flydubai (http://www.flydubai.com) today announced that it is...
View ArticleJapan yachangia sh. milioni 160 shule ya msingi Kakuni
Kaimu Balozi wa Japan, Bw. Kazuyoshi Matsunaga akisoma risala fupi mbele ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) wakati wa hafla fupi ya utiaji saini mkataba wa msaada wa shilingi milioni 160 kwa ajili...
View ArticleDCB Commercial Bank wadhamini mashindano ya Tanzania Bankers & Public Funds...
Mkurugenzi Mtendaji wa DCB Commercial Bank Plc Bw. Edmund Mkwawa ( wa tatu kutoka kulia), Mkurugenzi Mkuu wa My way Entertainment Paul Mganga (wa pili kutoka kulia), Mwenyekiti wa kamati ya...
View ArticleFURSA: Kopa na BAYPORT ‘online’ ujishindie Milioni 1
WATEJA wa taasisi ya Kifedha ya Bayport inayojihusisha na mambo ya mikopo wanaweza kujishindia jumla ya Sh Milioni moja, endapo wataamua kukopa kwa njia ya mtandao wa www.kopabayport.co.tz...
View ArticleSoko la rangi kushuhudia mabadiliko kutokana na maendeleo mbalimbali ya...
Kutokana na mpango mkakati wa serikali wa mwaka 2012 mpaka 2017 ambao unalenga upanuzi wa makazi katika mikoa mbalimbali, kumekuwa na ongezeko kubwa la majengo ya makazi, majengo ya ofisi na majengo...
View Article