Frederick Fussi atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Songea Mjini kwa...
Mgombea ubunge jimbo la Songea mjini kwa tiketi ya Chama cha Maendeleo (CHADEMA), Frederick Fussi akisisitiza jambo katika mkutano wake na waandishi habari. OFISA Mshauri wa masuala ya Uchumi,...
View Article41 Waapishwa kuwa Manaibu Wasajili wa Mahakama ya Tanzania Jijini Dar Es Salaam
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaaban Ali Lila akimwapisha Mhe. Lenatus Ishengoma (kulia) kuwa Naibu Msajili wa Mahakama ya Tanzania jana jijini Dar es salaam. Wanaoshuhudia kiapo...
View ArticleLeading Tea packing company promises great tea
CHAI BORA the leading Tea packing company in Tanzania, with over 300 employee operating countrywide distribution from head office based in Dar-es-Salaam, Companies factory is based in Mafinga Irringa...
View ArticleTigo yatoa msaada wa millioni 30 Tshs kwa waathirika wa mafuriko mjini Kahama
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa, Bw. Ally Maswanya(kulia) akimkabidhi baadhi ya vyakula, vilivyio gharimu milioni 30 , Mkuu wa wilaya ya Kahama Bw. Benson Mpesya (kushoto) kwa ajili ya waathirika wa...
View ArticleINSPIRATIONAL: “My name is Jasper, I’m four years old and I have Albinism”
Jasper, who started kinder this week. On his first day of kinder this week, Jasper’s mum distributed this letter to all the parents at her son’s kindergarten. Hello, My name is Jasper and I have...
View ArticleUjumbe wa Vicky Ntetema kwa Rais Kikwete
Kilio kwa mheshimiwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Mheshimiwa Rais Dakta Jakaya Kikwete, Mheshimiwa Rais nakuja kwako kama mwanamke na mama mwenye watoto wenye albinism wanaowindwa...
View ArticleTangazo la kupotea kwa ndugu Nsajigwa Kennedy Mwang’onda
Familia ya Marehemu Robert Mwang’onda wa Mabibo jijini Dar es Salaam wanapenda kutangaza kupotelewa na ndugu yao Nsajigwa Kennedy Mwang’onda ambaye aliondoka nyumbani Mabibo CCM – Karibu na Chuo Cha...
View ArticleZiara ya Waziri Lukuvi Mwanza kutatua migogoro ya ardhi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi akisikiliza maelezo kutoka kwa Mh. Jaji Mfawidhi Makalamba alipokutana naye ofisini kwa Jaji huyo Jijini Mwanza ili kupata...
View ArticleSerikali kupeleka Bungeni muswada wa marekebisho ya sheria
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Mizengo Pinda. *Una sehemu 14 ikiwemo ya Mahakama ya Kadhi WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali itawasilisha Bungeni Muswada wa Marekebisho ya...
View ArticleKomredi Kinana amaliza ziara siku 9 Dodoma, azunguka KM 2289 kukagua miradi...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano baada ya kukagua ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Changaa, wilayani Kondoa, wakati wa ziara ya siku tisa iliyomalizika leo mkoani...
View ArticleRais Kikwete afariji waliopatwa na maafa ya Mvua ya Mawe,Kahama leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuwafariji waathirika wa Mvua ya Mawe,iliyonyesha hivi karibuni katika Kijiji cha Mwakata,Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, leo Machi 12,2015. Maelfu ya...
View ArticleSkimu ya Mpunga Kiroka yapata ugeni mkubwa
Msimamizi wa mradi wa FAO kijiji cha Kiroka mkoani Morogoro, Ajuaye Sigalla, akitoa muhtasari wa maendeleo ya mradi FAO unaotekelezwa na wanakikundi wa Umoja wa Wakulima Kiroka (UWAKI) mbele ya...
View Article2015 All Africa Business Leaders Awards Call For Entries
The 2015 All Africa Business Leaders Awards (AABLA) in Partnership with CNBC Africa announced today its 5th year honoring outstanding achievements in business on the content, with the official opening...
View ArticleStakeholders discuss the Economic Partnership Agreement (EPA) between the EU...
Press Release_Stakeholders Discussion on EPA btn EU and EAC_11March_FIN.pdf by moblog EAC graphs and figures.pdf by moblog 2015 MAR Fiche EPA EAC.pdf by moblog Overview of the EPA state of play.pdf by...
View ArticleSEMA Singida kutumia Milioni 80 kuwapiga msasa waratibu wa elimu mikoa ya...
Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Singida, Aziza Mumba, akizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo ya zana za ukaguzi na ufuatiliaji wa huduma za maji, elimu na usafi wa mazingira shuleni yaliyohudhuriwa na...
View ArticleUfahamu juu ya ugonjwa sugu wa Figo
Apollo Kidney article for Mwananchi Swahil 2 12 Mar 15 Final.doc by moblog
View ArticleFood Delivery Service, hellofood Tanzania, continues to expand its operations
hellofood has made lunch time and online food deliveries easy. All it takes to order food through Hellofood are a few clicks on your smartphone or computer. Customers get to choose their neighborhood...
View ArticleMheshimiwa Waziri Mkuu Pinda na mkewe wawasili Japan
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi Mteule wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Masahiro Yoshida kwenye Hoteli ya New Otani jijini Tokyo Machi 13, 2015 ambako Machi 14, 2015 anatarajiwa...
View ArticleMkazi wa Korogwe, Tanga aibuka mshindi wa mtoko wa Mbugani kwenye fainali ya...
Meneja chapa wa bia ya Serengeti Premium, Bw.Rugambo Rodney (wa pili kulia), akionyesha namba ya simu ya mshindi wa mwisho wa shindano la Tutoke na Serengeti, ambapo Bw. Robert Gabriel mkazi wa...
View ArticleWajawazito Zanzibar washahuriwa kutumia vyakula vyenye lishe bora
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo. Na Abdulla Ali na Mwanaisha Moh’d Maelezo-Zanzibar Kina mama wajawazito wameshauriwa kutumia vyakula vyenye Lishe Bora ili kuepukana na...
View Article