Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Mheshimiwa Waziri Mkuu Pinda na mkewe wawasili Japan

$
0
0

PG4A5716

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana  na Balozi Mteule wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Masahiro Yoshida kwenye Hoteli ya New Otani jijini Tokyo  Machi 13, 2015 ambako Machi 14, 2015 anatarajiwa kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano Kuhusu namna ya kukabiliana na maafa  utakaofanyika Sendai. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
PG4A5728
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi Mteule wa Japan Nchini Tanzania, Mhe. Masahiro Yoshida kwenye Hoteli ya New Otani jijini Tokyo  Machi 13, 2015 ambako Machi 14, 2015 anatarajiwa kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano Kuhusu namna ya kukabiliana na maafa utakaofanyika Sendai.
PG4A5771
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  na Balozi Mteule wa Japan Nchini Tanzania, Mhe. Masahiro Yoshida (kushoto) kwenye Hoteli ya New Otani jijini Tokyo  Machi 13, 2015 ambako Machi 14, 2015 anatarajiwa kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano Kuhusu namna ya kukabiliana na maafa utakaofanyika Sendai. Watatu kushoto ni mkewe Tunu , Wanne kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Zanzibar, Mohamed Abood Mohamed na Kulia ni Naibu Waziri wa mambo ya Nje, Dr. Mahadh Maalim.
PG4A5672
Mke wa Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda (kushoto) akizungumza ujumbe kutoka  Shirika lisilokuwa la kiserikali la Women’s Federation for World Peace  la Umoja wa Mataifa (WFWP) kwenye hoteli ya New Otani jijini Tokyo  Mchi 13, 2015 ambako amefuatana Mheshimiwa Waziri Mkuu kumwakilisha Rais Jakaya Kiwete kwenye mkutano kuhusu namna ya kushughulikia maafa unaotarajiwa kufanyika Sendai Machi 14, 2015.  Kutoka kushoto ni Chieko Sasamoto na  Yoko Shima
PG4A5702
Mke wa Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda (kushoto) akizungumza ujumbe kutoka  Shirika lisilokuwa la kiserikali la Women’s Federation for WOrld Peace  la Umoja wa Mataifa (WFWP) kwenye hoteli ya New Otani jijini Tokyo  Mchi 13, 2015 ambako amefuatana Mheshimiwa Waziri Mkuu kumwakilisha Rais Jakaya Kiwete kwenye mkutano kuhusu namna ya kushughulikia maafa unaotarajiwa kufanyika Sendai Machi 14, 2015.  Kutoka kushoto ni Chieko Sasamoto, Yoko Shima na Mutsako Setomoto.
PG4A5741
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa katika picha ya pamoja  ujumbe kutoka  Shirika lisilokuwa la kiserikali la Women’s Federation for World Peace  la Umoja wa Mataifa (WFWP) kwenye hoteli ya New Otani jijini Tokyo  Mchi 13, 2015 ambako amefuatana na  Mheshimiwa Waziri Mkuu kumwakilisha Rais Jakaya Kiwete kwenye mkutano kuhusu namna ya kushughulikia maafa unaotarajiwa kufanyika Sendai Machi 14, 2015.  Kutoka kushoto ni  Mutsako Setomoto,   Chieko Sasamoto, Yoko Shima na Kazunori Arase.
PG4A5754

 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles