Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

41 Waapishwa kuwa Manaibu Wasajili wa Mahakama ya Tanzania Jijini Dar Es Salaam

$
0
0

Mahakama -1

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaaban Ali Lila akimwapisha Mhe. Lenatus Ishengoma (kulia) kuwa Naibu Msajili wa Mahakama ya Tanzania jana jijini Dar es salaam. Wanaoshuhudia kiapo hicho ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Othman Chande (kushoto) na Mhe. John Kahyoza, Msajili Mahakama Kuu ya Tanzania.

Mahakama-2

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaaban Ali Lila akimkabidhi Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwongozo wa utendaji kazi wa Mahakama Mhe. Zahara Abdallah Mlacha mara baada ya kumwapisha kuwa Naibu Msajili wa Mahakama ya Tanzania jijini Dar es salaam.

Mahakama -3

Mhe. Elizabeth Mkwizu  akisaini hati ya kiapo cha kuwa Naibu Msajili wa Mahakama mbele ya Jaji Kiongozi Mhe. Shaaban Ali Lila baada ya kuapishwa  jijini Dar es salaam.
Mahakama- 4
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaaban Ali Lila akimwapisha Mhe. Hussein Shaban Mushi kuwa Naibu Msajili wa Mahakama ya Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika viwanja vya Mahakama ya Rufani leo jijini Dar es salaam.
Mahakama - 5
Naibu Msajili wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Hussein Shaaban Mushi akipokea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwongozo wa utendaji kazi wa Mahakama  kutoka kwa Jaji Kiongozi  Mhe. Shaaban Ali Lila mara baada ya kuapishwa kuwa Naibu Msajili wa Mahakama ya Tanzania jana jijini Dar es salaam.
Picha na 6
Mhe. Isaya Khalfan (kulia) akila kiapo cha kuwa Naibu Msajili wa Mahakama ya Tanzania mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaaban Ali Lila (kulia) jana jijini Dar es salaam.
Picha na 7
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaaban Ali Lila (aliyekaa) akisaini kiapo cha Mhe. Angela Maria Thei (kulia) aliyeapishwa kuwa  Msajili wa Mahakama ya Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika viwanja vya Mahakama ya Rufani jijini Dar es salaam. Anayetazama kiapo hicho ni Msajili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mh. John Kahyoza (katikati).
Picha na 8
Manaibu Wasajili wa Mahakama ya Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Watendaji Wakuu wa Mahakama Tanzania wakiongozwa na Jaji Mkuu Mhe. Mohamed  Chande Othman (katikati waliokaa mbele) na Jaji Kiongozi Mhe. Shaaban Lila (kulia waliokaa mbele). (Picha na Aron Msigwa –MAELEZO).

 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles