Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UN yazindua ripoti ya dawa za kulevya duniani

Afisa habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Stella Vuzo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na uzinduzi wa ripoti ya Kupambana na dawa za kulevya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanaharakati wa siku nyingi wa wanyamapori nchini Tanzania ampongeza Rais...

Mwanaharakati wa siku nyingi wa wanyama pori na mazingira nchini Tanzania Kidon Mkuu, akiwa Philipine Manila December 2014 kwenye harakati zake za matembezi ya kupinga kuuwawa kwa Tembo na Faru akiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi watakiwa kujitokeza kwenye kambi ya kupima Afya bila malipo kwa...

Mkurugenzi Mtendaji wa Kliniki ya kimataifa ya afya ya uzazi kwa baba, mama, mtoto na vijana (AMM), Dk Ali Mzige (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Kambi ya kupima...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Worth reading: The Tongue Can Be Your Worst Enemy

Your words, your dreams, and your thoughts have power to create conditions in your life. What you speak about, you can bring about. If you keep saying you can’t stand your job, you might lose your...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete kuwa mgeni rasmi Bonanza la Maveteran wa Nchi za Jumuiya ya...

Mwenyekiti wa Klabu ya Maveteran, Mussa Kisoky (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wao juu ya Bonanza hilo la Maveteran wa Afrika Mashariki hiyo Aprili 4...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua mkutano wa pili wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa pili wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, uliofanyika Hoteli ya Serena jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baraza la ushauri SUMATRA lazindua vilabu vya wanafunzi

Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Usafiri wa nchi Kavu na Majini (SUMATRA CCC), Ayoob Omary akizindua vilabu vya wanafunzi vya Sumatra. Kushoto ni Katibu Mtendaji wa baraza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wadau wamtembelea Balozi Mstaafu Mustafa Nyang’anyi Washington DC

Mkurugenzi na mmiliki wa kampuni urban and rular engineering ndugu Awadh Zuberi pamoja na wasaidizi wake walipomtembelea balozi mstaafu Mustafa Nyang’anyi nyumbani kwake Washington DC, kuanzia kushoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakazi 10000 kunufaika na ukarabati bwawa la Kalemawe

Mshehereshaji wa kongamano la siku moja lililofanyika jijini Dar kuzungumzia ukarabati na uendeshaji wa bwawa la Kalemawe lililopo wilayani Same mkoani Kilimanjaro, Mtaalamu wa masuala ya fedha wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EXCLUSIVE INTERVIEW: ‘Ushirikina chanzo cha mauaji ya watu wenye Albinism’–...

Na Andrew Chale wa modewji blog Dk. Ally Possi ambaye ni Mhadhiri wa chuo kikuu cha  Ardhi, Dar es Salaam. Akielezea na kuchambua kwa kina kuhusiana na wimbi la mateso na mauaji dhidi ya watu wenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais akutana na uongozi wa Chama cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam jana. Walioketi kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha Rose Migiro, Waziri wa Mambo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

hellofood Tanzania Celebrates International Women’s Day

International Women’s Day is more than just giving a gift to a woman you appreciate and say she is great. This day symbolizes women’s struggles around the world for equality and basic human rights,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EY Tanzania team donated US$ 3,500 to fight brutality against people with...

On 2nd March 2015 staff and Partners of EY Tanzania hosted Ms. Maria Stanford a representative from the society of people with albinism in Tanzania at EY offices in Oysterbay.  The representative,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Unyanyapaa, Ukatili na Mauaji dhidi ya Albinism..Imetosha!

Balozi wa kujitolea wa kampeni ya mapambano dhidi ya mauaji ya albino, Henry Mdimu (katikati) akizungumza na vyombo vya habari (hawapo pichani) wengine ni wajumbe wa kamati hiyo. Kushoto ni Monica...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi wa harakati za “Imetosha!” Henry Mdimu apeleka ujumbe wake Uwanja wa...

Na Henry Mdimu Tangu asubuhi leo nilikuwa busy na awareness za uwanja wa Taifa katika mechi ya watani wa Jadi Yanga na Simba (picha ya pili). Ila jioni hii nilipoangalia simu yangu nikakuta watu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Happy Women’s Day to all Mama’s out there

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWAA yamtunukia Tuzo ya Mafanikio Mwanamke wa Mwaka, Inspekta Prisca Komba

Rais wa TWAA, Irene Kiwia akiongea jambo mara baaada ya kutangaza washindi. ..Mama Debora Mwenda atwaa tuzo ya ‘Lifetime Achievement Award’ Na Andrew Chale wa modewjiblog Taasisi ya Shirika la kijamii...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shirika la Nyumba La Taifa (NHC) lazindua mauzo ya nyumba zake za Victoria...

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akifanya mahojiano na Ephraim Kibonde wa Kipindi cha Maisha ni Nyumba cha Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwenye uzinduzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CMEA ni suluhilisho kwa wanamuziki- Makamba

Naibu Waziri Sayansi na Teknolojia January Makamba akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampuni ya na kampuni ya Copyrights Management East Africa Limited (CMEA). Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete aongoza siku ya wanawake duniani 2015 Morogoro

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa kwa furaha alipowasili uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 kuongoza kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani  iliyoadhimishwa kitaifa...

View Article
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live