Dkt. Fenella akutana na Wasanii Nchini
Hotuba Ya Waziri Wa Habari by moblog Waziri wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akimueleza jambo Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Francis Michael wakati wa...
View ArticleWaziri Mkuu Mizengo Pinda aweka jiwe la msingi katika mradi wa nyumba za...
Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda akifungua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo jana. Waziri Mkuu,...
View ArticleMama Salma Kikwete awataka wanaume kuwaunga mkono wake zao kupima saratani za...
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akikabidhi mashine ya kupimia saratani ya matiti kwa akina mama kwa uongozi kwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Luteni Jenerali Samuel...
View ArticleFinally a Husband’s point of view: Share this to as many men as you can – to...
At last a Husband has taken the time to write down this all finally. We always hear “the rules” from the Wife’s side. Now here are the rules from the male side. These are our rules! Please note….....
View ArticleKINANA akutana na Kamati Kuu ya Chama cha SPLM cha Sudani ya kusini
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumzana na Kamati Kuu ya Chama Cha SPLM ambapo alipeleka ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho...
View ArticleKapteni John Komba afariki dunia jioni hii katika hospitali ya TMJ
Kutoka chumba cha habari cha modewjiblog , aliyekuwa Mkurugenzi wa TOT na Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi, mkoa wa Ruvuma, Kapteni John Komba (pichani) amefariki dunia jioni hii katika hospitali...
View ArticleWavamizi na wamiliki wa ardhi kinyume cha sheria jijini Dar kukiona, kukumbwa...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Alphayo Kidata (kulia) bakitoa tathmini ya zoezi la bomoa bomoa awamu ya tatu linaloendelea katika Manispaa ya Kinondoni jana jijini la...
View ArticleGrace Kihampa amlilia KOMBA
Grace Kihampa, Mtangazaji wa TBC. Mpaka sasa nilikuwa kimya siamini, hivi kweli Kapteni JOHN KOMBA umekwenda?! Siku yangu ilikuwa ngumu sana nilipoambiwa ingia studio BREAKING NEWS, Mbunge wa Mbinga...
View ArticleMaggid Mjengwa: John Komba Nilimwona Kwa Mara Ya Kwanza Mwaka 1981..
Ndugu zangu, Nimepokea kwa masikitiko habari za kifo cha ghafla cha msanii mhamasishaji John Komba. Nilikuwa kijana mdogo sana nilipomwona kwa mara ya kwanza John Komba akitumbuiza ukumbi wa DDC...
View ArticleWaziri Mkuu Pinda ziarani wilaya ya Chunya
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Mkwajuni wilayani Chunya akiwa wakati wa ziara yake mkoani Mbeya Februari 28, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri...
View ArticleKatibu Mkuu UVCCM Taifa, amlilia Capt. Komba
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Sixtus Mapunda (pichani) amesikitishwa na k ifo cha ghafla cha aliyekuwa Mbunge wa Mbinga, Marehem Capt. John Komba aliyefariki, wakati akiendelea na...
View ArticleVIDEO: Membe asema Komba alikuwa shuhuda kwenye mgogoro wa mipaka
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mhe. Beranard Membe akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwa marehemu Capt. John Komba.
View ArticleKhadija Kopa na Wana TOT ndani ya majonzi mazito
Khadija Kopa (kulia) akiwa kwenye majonzi makubwa ya kuondokewa na Jabali la muziki wa kwaya nchini na kiongozi wa TOT Kapteni John Komba. Khadija Kopa (kulia) akiwa kwenye majonzi makubwa ya...
View ArticleDC Makonda atembelea na kukagua miradi ya maabara shule za sekondari wilayani...
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akisaini kitabu cha wageni katika shule ya sekondari Turian iliyopo katika wilaya ya Kinondoni wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi ya Maabara katika...
View ArticleLeo ni siku ya kuzaliwa ya mdau Othman Michuzi
Napenda Kuchukua Fursa hii Kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma na Mwenye Kurehemu kwa kunijaalia Uhai na afya njema hadi kufikia siku hii ya leo,ambapo ninayo furaha kubwa sana kwa kuongeza...
View ArticleRatiba ya kuaga rasmi mwili wa marehemu Capt. John Damiano Komba leo
Marehemu Capt. John Damiano Komba enzi za uhai wake. 257298487-Ratiba-Ya-Kuaga-Rasmi-Mwili-Wa-Marehemu-Capt-John-Damiano-Komba-Mb-Siku-Ya-Jumatatu-Tarehe-2-Mach… by moblog
View ArticleCivil Society key to improving qaulity of life – His Highness the Aga Khan
EA20150301-039.pdf by moblog
View ArticleJK aongoza mamia kuaga mwili wa Capt. John Komba Karimjee leo
Kada wa CCM Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa wakati shughuli za kutoa heshima za mwisho msiba wa Captain John Komba katika...
View ArticleNyalandu awaaga wafanyabiashara wanaoenda kushiriki maonyesho ya ITB, Berlin...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akitoa nasaha za kuwaaga wafanyabiashara wa Tanzania wanaoenda Berlin, Ujerumani kushiriki maonyesho makubwa Duniani ya biashara maarufu kama ITB...
View Article