Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Waziri Mkuu Mizengo Pinda aweka jiwe la msingi katika mradi wa nyumba za watumishi zililizojengwa na NHC Busokelo

$
0
0

mi1

Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda akifungua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo jana.

mi2

Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio wakati akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wialaya ya Busokelo, Mbeya.

mi4

Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, akisalimiana na Meneja Miradi wa NHC, George Magembe wakati akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wialaya ya Busokelo, Mbeya.

mi6

Baadhi ya watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Wakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio wakipokea wageni waliokuwa wakiwasili katika eneo la nyumba za gharama nafuu za watumishi za Busokelo, Mbeya zinazojengwa na Shirika hilo na kuwekwa jiwe la msingi na Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda.

mi7

Mojawapo ya nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Busokelo zinazojengwa na NHC kama zinavyoonekana jana.

mi8

Mojawapo ya nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Busokelo zinazojengwa na NHC kama zinavyoonekana jana.

mi9

Bango la Kumkaribisha Waziri Mkuu

mi10

Msoma Hotuba wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Bw. Sanga akisoma hotuba hiyo mbele ya Waziri Mkuu.

mi11
mi13

Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, akijadiliana jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu) na Mbunge wa Rungwe Mashariki , Profesa Mark Mwandosya katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo.

mi14

Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, akijadiliana jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu) na Mbunge wa Rungwe Mashariki , Profesa Mark Mwandosya katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wialaya ya Busokelo.

mi15

Baadhi ya Watendaji wa NHC na viongozi wa Wilaya ya Busokelo mkoani Mbeya wakiwa wamejipanga kumkaribisha Waziri Mkuu.

mi16

Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda akikaribishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu) na Mbunge wa Rungwe Mashariki , Profesa Mark Mwandosya wakati akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Mbeya.

mi18

Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu) na Mbunge wa Rungwe Mashariki , Profesa Mark Mwandosya katika eneo la nyumba za gharama nafuu za watumishi za Busokelo, Mbeya zinazojengwa na Shirika hilo kabla ya kuwekwa jiwe la msingi na Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda.

mi19

Baadhi ya Wafanyakazi wa NHC wakifuatilia uwekaji wa jiwe la msingi wa mradi huo wa nyumba za watumishi wilayani Busokelo.

mi20

Wafanyakazi wa NHC Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja baada ya shughuli ya uwekaji jiwe la msingi.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles