Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Mkwajuni wilayani Chunya akiwa wakati wa ziara yake mkoani Mbeya Februari 28, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wananchi wa mji mdogo wa Makongorosi Chunya waliofunga njia na akalazimika kuzungumza nao akiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya Februari 28, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

