TICTS yakabidhi msaada wa vitabu kwa shule ya msingi Mivinjeni jijini Dar
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuini ya Ushushaji Mizigo Bandarini Tanzania International Container Terminal (TICTS) Paul Wallace akipeana mikono na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mivinjeni baaada ya...
View ArticleUNESCO waanzisha program ya utamaduni kukabili UKIMWI
Afisa Ardhi na Mazingira wa Halmashauri ya wilaya ya Msalala (Kahama), Zablon Donge, akifungua rasmi warsha ya siku tatu ya wadau wa mapambano dhidi ya UKIMWI kwa niaba ya Mkurugenzi wa wilaya hiyo,...
View ArticleMwakyembe apigwa mwezi mmoja kutoa majibu
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa mjini Mtwara katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mashujaa mjini humo akihitimisha ziara yake ya siku 16...
View ArticleBalozi Sefu Iddi ataka jamii itumie fursa elimu ya juu
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiwa na Mwenyeji wake Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Dr. Asha-Rose Migiro wakiliongoza Gwaride kulingia kwenye uwanja wa Mahafali ya 26 ya chuo kikuu huria...
View ArticleAjali za barabarani zaongezeka Tabora, zauwa idadi kubwa ya watu!
Mkuu wa mkoa wa Tabora Bw.Ludovick Mwananzila akipata maelezo kutoka kwa Dr.Anna Kichambati wa Redcross Tabora wakati wa sherehe za wiki ya usalama barabarani mkoani Tabora. Mkuu wa mkoa wa Tabora...
View ArticleMisa ya Kiswahili ya ThanksGiving yafanyika Baltimore, Maryland
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwasili Kanisani hapo kwenye misa la thanksgiving iliyofanyika jana Jumapili Novemba 30, 2014 Baltimore, Maryland...
View ArticleTamasha la Tigo Welcome Pack lapagawisha Mjini Kigoma
Msanii Alex Chalamila maarufu kama MCRegan akiburudisha katika tamasha la kuhamasisha matumizi ya mtandao wa simu ya mkononi ya Tigo lililofanyika kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma. Msanii...
View ArticleTony Elumelu Foundation Commits $100M to African Entrepreneurs
In his recent article in the Economist, Tony Elumelu declared that, “In 2015, the African entrepreneur will explode on to the global stage, as a new generation shows the world what those of us doing...
View ArticleRais Kikwete amteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad (pichani) kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Taarifa iliyotolewa...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal katika maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani,...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mkuu wa mkoa wa Njombe, Dkt. Rehema Nchimbi, kwa pamoja wakisimama kupokea maandamano wakati wa sherehe za Maadhimisho ya...
View ArticleShule ya walemavu Buhangija Jumuishi yaelemewa na changamoto
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues akimsikiliza kwa makini Mkuu wa kitengo cha watoto walemavu shule ya...
View ArticleBenki ya Exim yapata faida kabla ya kodi ya asilimia 9 katika robo ya tatu 2014
Meneja Fedha Mwandamizi Benki ya Exim, Bw. Issa Hamisi (wapili kulia) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) juu ya utendaji wa kifedha wa benki hiyo katika robo ya tatu ya mwaka ambapo faida ya...
View ArticleFastjet yaadhimisha miaka miwili ya huduma nafuu kwa wasafiri wa anga
Kampuni ya ndege ya fastjet, ambayo ni Kampuni yenye gharama nafuu kote Afrika, imeadhimisha miaka miwili ya kutoa usafiri wa anga barani Africa. Fastjet ilianza biashara ya usafiri wa anga hapa...
View ArticleJerry Silaa ahimiza upimaji wa VVU
Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa jana amehudhuria maadhimisho ya siku ya UKIMWI iliyoadhimishwa na manispaa ya Ilala kwenye kata ya Vingunguti ambapo ametumia fursa hiyo kuhamasisha...
View ArticleTigo yashinda tuzo ya huduma bora ya kibunifu katika kutuma na kupokea fedha...
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez. Tigo Tanzania imeshinda tuzo ya “Huduma Bora ya Kibunifu” kutokana na huduma yake ya kutuma na kupokea fedha kimataifa kati ya Tigo Pesa Tanzania na...
View ArticleHeppy Besdei mdau Daniel Chongolo
Mdau wa Globu ya jamii,Daniel Chongolo leo anasherehekea siku yake adhimu ya kuzaliwa, Anasema Sifa na Utukufu anazirudisha kwa Mungu maana yeye ndiye ajuae sababu ya kumuacha hadi hii leo na hakuna...
View ArticleKinana alipokagua maabara yenye ubora wa nyota mbili hospitali ya rufaa Mtwara
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitembelea maabara yenye ubora wa nyota 2 katika Hospitali ya Mkoa ya Rufaa ya Mtwara juzi.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG. Kinana...
View ArticleRais Jakaya Kikwete amwapisha CAG mpya leo , Ikulu Jiji Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akimwapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu mpya wa Hesabu za Serikali Prof. Musa Juma Assad, leo Ikulu jijini Dar es salaam. Mdhibiti na...
View ArticleWould You Marry Again?
A husband and wife are sitting quietly in bed reading when the wife looks over at him and asks the following question… WIFE: “What would you do if I died? would you get married again?” HUSBAND:...
View ArticleMbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini avuna wanachama 167 kutoka UKAWA
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood (kulia) akimsikiliza aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama Cha wananchi CUF Wilaya ya Morogoro Ndugu Mariam Iswili aliyeamua Kurudisha Kadi...
View Article