Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini avuna wanachama 167 kutoka UKAWA

$
0
0

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood (kulia) akimsikiliza aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama Cha wananchi CUF Wilaya ya Morogoro Ndugu Mariam Iswili aliyeamua Kurudisha Kadi ya CUF na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi. Katika tukio hilo jumla ya wanachama 167 kutoka vyama vya CUF, CHADEMA na NCCR MAGEUZI walirudisha kadi zao na kusema vyama hivyo havina sera mpya zaidi ya majungu na maneno mengi yasiyo na tija kwa wananchi.

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiwa na kadi ya CUF aliyopokea.

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akionyesha kadi alizokabidhiwa kutoka kwa wanachama waliohama kutoka vyama vya CHADEMA  na CUF na kuhamia CCM.

IMG_0231

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood  akionyesha kadi za vyama vya Chadema, CUF na NCCR Mageuzi alizopokea kutoka kwa wanachama wa vyama hivyo na kuamua kujiunga na Chama cha Mapinduzi.

 
 
 
 
 

Waliokuwa wanachama wa Ukawa wakila kiao mara baada ya kukabidhiwa kadi za CCM.

 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Latest Images

Trending Articles



Latest Images