
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwasili Kanisani hapo kwenye misa la thanksgiving iliyofanyika jana Jumapili Novemba 30, 2014 Baltimore, Maryland nchini Marekani.

Padre Honest Munishi akiongoza misa.
Balozi Liberata Mulamula akiwashukuru mapadre na kuwaomba Watanzania waishio nchini Marekani washikamane wawe kitu kimoja.

Balozi Liberata Mulamua akifuatilia Misa.















