A Few Words About Gratitude: HAPPY THANKSGIVING
Having a happy thanksgiving is about being with family and loved ones. It is also about celebrating. But what it is most about, is gratitude. And today, I want to say HAPPY THANKSGIVING – and I’m...
View ArticleMaadhimisho ya siku ya Takwimu Afrika yafanyika Jijini Dar, Serikali...
Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Yussuf Mzee akifungua maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam na kuwashirikisha wadau mbalimbali kutoka...
View ArticleRais Kikwete atuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa mkoa wa Tanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mheshimiwa Rajabu Rutengwe kuomboleza vifo vya watu 11 ambapo...
View ArticleSerengeti yatoa zawadi ya Limo Bajaj kwa mshindi wa kwanza wa promosheni ya...
Meneja wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney (kulia) akiongea na waandishi wa habari hawapo Pichani, wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya Tutoke na Serengeti, ambapo Bi.Rukia Athuman Almas toka...
View ArticleKinana aunguruma Tandahimba
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Tandahimba ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa zao la korosho lina hadithi nyingi sana na njia pekee ya kuleta ukombozi kwa mkulima ni...
View ArticleAndrew Nyerere; Mwalimu angekuwepo angepinga ufisadi!
Kuna maswala kadha wa kadha yanayoikabili Tanzania kwa hivi sasa, miongoni mwa mambo haya ni sakata la akaunti ya Tegeta/Escrow, mchakato wa katiba mpya na mengine mengi. Mwandishi Nova Kambota...
View ArticleTuinue muziki wa injili kukuza maadili katika jamii: UDA
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), Bw John Samangu (kushoto) akikata utepe kuzindua rasmi albamu ya kwanza kutolewa na ya kwaya ya Kanisa la Kigango cha Mtakatifu Rita wa...
View ArticleWWF watoa mabango ya kukabili ujangili nchini
Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wa jijini Dar es salaam, Bw. Moses Malaki (kulia), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati wa hafla ya...
View ArticleSerikali imesema inatambua VICOBA kama mkombozi wa wanyonge nchini
Na Eleuteri Mangi- Dodoma Serikali imesema kuwa VICOBA ni taasisi binafsi inayomilikiwa na wananchi wenyewe vikiwa ni miongoni mwa tasisi ndogo za kifedha ambazo ni za kibinafsi na huanzishwa,...
View ArticleKinana alakiwa kwa Shangwe Mtwara vijijini, atoa heshima kwenye kumbukumbu ya...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi waliojitokeza kumpokea wakati akiwasili wilaya ya Mtwara kijijini. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na...
View ArticleDkt. Kissui afungua kongamano la ulingo wa maendeleo ya biashara na uchumi...
Mkurugenzi Msaidizi Wizara ya Utamaduni, Michezo, Habari na Vijana Dkt. Kissui S. Kissui akifungua rasmi kongamano la ulingo wa maendeleo ya biashara na uchumi Karakana ya wajasiliamali uliofanyika...
View ArticleMatukio katika picha kutoka Bungeni mjini Dodoma leo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014. (Picha na...
View ArticleTanzania refute claims to evict 40,000 Maasai from their land in Ngorongoro
The government of United Republic of Tanzania has never had any plan to evict the Maasai people from their ancestral land The government of United Republic of Tanzania has never had any plan to evict...
View ArticleRais Kikwete awasili Dar, apata mapokezi makubwa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa abiria wakati ndege aliyopanda ilipotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye...
View ArticleTangazo la msiba wa Kepteni – Sp. Kidai Senzala Kaluse
Mrakibu wa Polisi-Captain Kidai Senzala Kaluse enzi za uhai wake. Familia ya Mzee Senzala Kaluse wa Kimara Mwisho Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao KIDAI SENZALA KALUSE...
View ArticleDkt. Bilal aiwakilisha Tanzania katika mkutano wa 3 wa wakuu wa nchi za...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza katika mkutano wa 3 tatu wa wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) kuhusu miundombinu, uliofanyika katika...
View ArticleNHIF wazindua kampeni ya mfuko wa afya ya jamii vijiji vya Nzega
Mkuu wa wilaya ya Nzega Bituni Msangi akipokea msaada wa shuka kwa ajili ya wagonjwa wa Zahanati ya kijiji cha Ubinga zilizotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakati wa uzinduzi wa kampeni ya...
View ArticleJK alificha siri ya kuugua saratani!
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na waandishi wa habari na viongozi mbalimbali waliokuja kumlaki baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam...
View ArticleWanasiasa washauriwa kampeni zenye ustaarabu
Na Mwandishi Wetu WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda (pichani) amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuendesha kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa amani na kuepuka maneno ya uchochezi. Sambamba...
View ArticleHatima ya vigogo sakata la Escrow mikononi mwa Kikwete
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. BUNGE limeazimia kuwajibishwa kwa mawaziri Profesa Sospeter Muhongo, Profesa Anna Tibaijuka, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji...
View Article