Mkuu wa wilaya ya Nzega Bituni Msangi akipokea msaada wa shuka kwa ajili ya wagonjwa wa Zahanati ya kijiji cha Ubinga zilizotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii CHF ambapo Afisa Matekelezo wa mfuko huo Sunday Matoi alikabidhi msaada huo kwa mkuu wa wilaya ya Nzega kabla ya kufanya ufunguzi wa majengo mapya ya zahanati ya Ubinga.
↧

