TBL yawa kinara ulipaji kodi Tanzania
Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha, akikabidhi Kombe la mshindi wa Meneja wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Alois Qande, wakati wa maadhimisho ya nane ya mlipa kodi ya...
View ArticleUjumbe wa wawekezaji kutoka Ubelgiji watembelea NHC
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Diodorus Kamala aliyeongoza jopo la wadau wa sekta ya usafirishaji na wafanyabiashara waliotembelea nchini kuanzia Novemba 22- 29 akizungumza kwenye Ofisi ya...
View ArticleTPHA washauri wataalamu kutumia mitandao ya kijamii
Andrew Chale ambaye pia ni mwandishi wa habari wa Tanzania Daima akichangia mada juu ya umuhimu wa matumizi ya mitandao ya kijamii ikiwemo facebook,blogs,website, whatsapp na mingineo. Wataalamu wa...
View ArticleRais Kikwete apokea salamu za kheri kutoka kwa Rais Obama
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete salamu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama leo jijini...
View ArticleKinana akagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na Wananchi Nanyumbu leo
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara baada ya kupokea taarifa za chama na serikali juu ya utekelezaji wa ilani ya...
View ArticleUPDATES ya msiba wa Ndg Sebastina Mgimba: Mwili wa marehemu wawasili nchini...
Ndugu pamoja na jamaa wa marehemu Sebastian Mgimba aliyefariki dunia nchini Malaysia wakibeba jeneza lenye mwili wa Marehemu mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dar Es Salaam eneo la...
View ArticleSuzuki Escudo inauzwa bei nzuri…ipo kwenye hali nzuri kabisa
Upande wa Kushoto unavyoonekana. TAARIFA KUHUSU GARI HII NI………. REGISTRATION NUMBER: T 746 AAT MAKE: SUZUKI MODEL: ESCUDO MODEL NUMBER: TDIIW BODY TYPE: STATION WAGON COLOR: BLUE METALLIC Year Of...
View ArticleKongamano la 31 la kisayansi laendelea mjini Bagamoyo
Maximilian Mapunda kutoka shirika la Afya Duniani (WHO-Country Officer) akiwasilisha mada kwenye kongamano hilo. Na Andrew Chale, Bagamoyo Pichani ni baadhi ya picha za matukio ya siku ya pili, jana...
View ArticleFrom Macro to Micro
We often look up to the stars and think of the immensity and vastness of space, but it can make us forget that there is a whole other universe on the micro level. If we look down, closer and closer, we...
View ArticleInternational SMEs not recognizing Africa’s growth potential – Report
-Prefer to trade with other emerging economies -SMEs expect to generate up to 50% of revenues internationally by 2019 According to an in-depth study conducted by the Economist Intelligence Unit (EIU)...
View ArticleShirika la Wanawake katika sheria na maendeleo Afrika (WILDAF) laadhimisha...
Wanaharakati kutoka shirika la WiLDAF wakiwa katika maandalizi ya matembezi ya maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yaliayoanzia viwanja vya Mnazi mmoja na kuishia katika Ukumbi wa...
View ArticleBilionea Dangote akagua tena ujenzi wa kiwanda chake cha saruji Mtwara
Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Industries Group), mfanyabiashara maarufu Afrika, Alhaji Aliko Dangote akitumia gari kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda chake...
View ArticleWaziri Mkuu, Mizengo Pinda kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa albamu...
Mkurugenzi wa kwaya ya ‘Family Singers’ Daniel Misheto (kulia). Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog. Na Mwandishi Wetu. WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda ametajwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi...
View ArticleWananchi wahimizwa kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw. Jumanne Sagini akionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) Daftari la Wapiga Kura linalotumika kuandikisha...
View ArticleCFAO Announces the Launch of its Club of Brands in Africa
-Five international brands to spearhead the continent’s growth CFAO (http://www.cfaogroup.com) announces the creation of its club of brands, a network of international brands wishing to support the...
View ArticleMiss Tanzania 2012 Brigitte aendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa albino
Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred akiwa katika picha ya pamoja na walemavu wa ngozi mara baada ya kumaliza mafunzo ya usajisiriamali kwenye viwanja vya Makumbusho ya Taifa jijini. Na Mwandishi wetu...
View ArticleKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana amaliza ziara yake Newala, leo...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Neawala Mh George Mkuchika mara baada ya kuwasili mjini Newala akiwa katika ziara ya kikazi katika mkoa wa Mtwara ziara...
View ArticleRipoti ya CAG kuhusu akauti ya ESCROW yawasilishwa bungeni isome humu
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mhe Zitto Kabwe akisoma Ripoti ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu akauti ya ESCROW Bungeni Mjini Dodoma jana. Spika wa Bunge la...
View ArticleUNCDF Vacany Announcement
Required Skills and Experience Education: At least a Master’s Degree in Business Administration, Finance, Banking or related areas, plus preferably a Bachelor Degree in engineering, finance or...
View ArticleMatukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda kutoka Bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma Novemba 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Spika wa Bunge Anne Makinda akizungumza, Bungeni Mjini Dodoma. Waziri Mkuu, Mizengo...
View Article