Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma Novemba 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Spika wa Bunge Anne Makinda akizungumza, Bungeni Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole- Sendeka kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Waziri Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Maswa Magaribi, John Shibuda, kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati) na Mbunge wa Lushoto, Henry Shekifu kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 27, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).