Andrew Chale ambaye pia ni mwandishi wa habari wa Tanzania Daima akichangia mada juu ya umuhimu wa matumizi ya mitandao ya kijamii ikiwemo facebook,blogs,website, whatsapp na mingineo.
Wataalamu wa Afya wameshahuriwa kutumia mitandao ya kijamii katika kuwafikia watu mbalimbali katika sekta ya afya.
Hayo yamesemwa kwenye kongamano la 31 la Kisayansi na Mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA) unaoendelea katika ukumbi wa Stella Maris, Bagamoyo.
Mada hiyo imewakilisha na TPHA.