Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitembelea maabara yenye ubora wa nyota 2 katika Hospitali ya Mkoa ya Rufaa ya Mtwara juzi.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG.
Kinana akiendelea kupata maelezo kuhusu mashine zinazopima magonwa mbalimbali katika hospitali hiyo ya Mtwara.
Kifaa cha maabara chenye uwezo wa kupima Kifua Kikuu sugu.
Kinana akiakagua stoo ya kuhifadhia dawa mbalimbali katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara juzi.