Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua mkutano wa tatu wa Afrika kuhusu masuala ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano mkuu wa tatu wa Afrika kuhusu masuala ya usimamizi wakodi uliofanyika kwenye...
View ArticleRais Kikwete ziarani nchini Marekani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini usiku wa Jumatatu, Septemba 15, 2014, kuanza ziara ya wiki mbili katika Marekani ambapo atahutubia Mkutano wa...
View ArticleTanzania kuwa mwenyeji wa Kongamano la watafiti wa ufugaji Nyuki Barani Afrika
Mtendaji Mkuu wa wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, Juma Mgoo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jana Jumanne (Septemba 16, 2014) kuhusu kongamano la sekta ya ufugaji nyuki Barani Afrika...
View Article#UNTZ: UNCDF kuendelea kusaidia kujenga uwezo wa kifedha kuhudumia maendeleo
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu kataka Wizara hiyo Dkt. Deogratius Mtasiwa, akizungumza kwenye mkutano wa...
View ArticleWalezi wa Shule ya Wasichana ya WAMA-Nakayama wapigwa msasa
Mkuu wa Kitengo cha Uragibishi na Mawasiliano kutoka Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Ndugu Philomena Marijani akiwakaribisha walimu na wageni waalikwa wakati wa sherehe ya ufunguzi wa mafunzo...
View ArticleKinana awasema ukweli viongozi wa CCM Mafia
Umati wa wananchi wa Mafia wakimsikiliza mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwahutubia wananchi hao. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa...
View ArticleMpigie kura Miss Kigamboni (2013) Magdalena Olotu kwenye shindano la “Next...
Aliyekuwa miss Kigamboni mwaka 2013, Miss Magdalena Olotu amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kwenye shindano la kumtafuta Super Model wa...
View ArticleMaendeleo ya TEKNOHAMA kwa sasa ikilinganishwa na hapo mwanzo
Na Benedict Liwenga, MAELEZO-DSM. TEHAMA ni moja kati ya Sekta zinazokua kwa kasi hapa nchini na duniani kote na imekuwa ikichangia kikamilifu katika maendeleo ya Taifa na pia imekuwa ikiwezesha sekta...
View ArticleCassim Mganga, Aunty Ezekiel watembelea mjengo mweupe, Aunty asaini kitabu...
Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014. Aunty Ezekiel akipata picha ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC...
View ArticleAskari watatu wajeruhiwa na mlipuko wa bomu Songea
Askari Polisi wakiwa eneo la tukio ikiwa ni kuimarisha ulinzi.(Picha Zote na demasho.com) ————- ASKARI watatu wa jeshi la Polisi wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma (Homso) iliyopo mjini...
View ArticleSafari ya Kinana kutoka Nyamisati mpaka Mafia kwa boti ya kizamani
Ilikiwa ni safari ngumu lakini yenye mafunzo mengi nikiwa nimepanda kwenye boti ya Doria wakati wa msafara wa Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na msafara wake tukitokea Nyamisati kuelekea...
View ArticleJK awasili Marekani kuhudhuria mkutano wa 69 wa Umoja wa Mataifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini usiku wa jana, Jumatatu, Septemba 15, 2014, kuanza ziara ya wiki mbili katika Marekani ambapo atahutubia...
View ArticleTanzania in top 10 countries that’s lowered child mortality rates by more...
CLICK HERE TO DOWNLOAD THE REPORT WASHINGTON (AP) — More of the world’s children are surviving to their fifth birthday, but 6.3 million still died last year, mostly from preventable causes, the U.N....
View ArticleDkt. Bilal afungua mkutano wa mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na...
View ArticleDMK City Link Express -yapunguza bei za kwenda au kutoka Airport zote...
PIA TUNATOA HUDUMA ZA USAFIRI WA KAWAIDA NDANI YA WASHINGTON DMV MAGARI MAGODO(4 DOORS) // SUV NA MINI VAN (6-8 PASSENGERS)
View ArticleDassault Aviation to Showcase Popular Falcon 7X at South African Air Show
New Falcon 5X and 8X also expected to drive future growth in Africa Dassault Aviation (http://www.dassault-aviation.com) will present its large cabin, long range Falcon 7X at the Africa Aerospace...
View ArticleWabunge EALA wajadili muswada wa vyama vya ushirika
Na Mwandishi wetu WABUNGE wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) walio katika kamati ya ya kilimo, Utalii na Maliasili wamekutana kujadili muswada wa sheria ya ushirika wa pamoja. Akizungumza...
View ArticleKinana amsifu Mama Salma Kikwete kuanzisha shule ya WAMA Nakayama
Katibu Mkuu wa CCM, ADULRAHMAN Kinana akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya WAMA NAKAYAMA aliposimama kwa muda akitokea ziara ya Kisiwa cha Mafia kwenda Dar es Salaam. Alimpongeza Mama...
View ArticleTamasha la magari kufanyika tarehe 27 na 28 September, 2014 katika viwanja...
Afisa Fedha Mkuu wa Milembe Insurance Bw. Dioniz Diocles akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Tamasha la magari linalotarajiwa kufanyika tarehe 27 na 28 September, 2014 katika...
View ArticleSerikali: Mishahara ya watumishi umma kulipwa kupitia akaunti
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba. Na Eleuteri Mangi-MAELEZO Serikali imeagiza watumishi wote wa umma walipwe mishahara moja kwa moja kupitia akaunti zao sahihi za benki ambazo zitatumika...
View Article