Serikali kuanza zoezi la kuhakiki vyama vya kijamii
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isack Nantanga akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. Na Frank Mvungi Serikali imedhamiria kuanza zoezi la kuhakiki vyama vya...
View ArticleKinana aunguruma Mkuranga awataka viongozi waliojilimbikizia vyeo wajipime
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutumia katika mkutano wa hadhara mjini Kimanzichana, wilayani Mkuranga, Pwani , alipoanza zira ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi inayotekelezwa...
View ArticleWarembo Miss Tanzania wajifua Gym kuiweka miili yao imara
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014 leo wameingia siku ya pili ya kambi yao jijini Dar es Salaam na baada ya semina asubuhi na mapumziko ya mchana jioni hii wamefanya mazoezi...
View ArticleZiara ya Makamu wa Rais wa Shirika la Heifer International Steve Denne nchini
Mfugaji wa Heifer International Tanzania Abel Mwakatumbula na mkewe wakiwa na Makamu wa Rais wa shirika hilo. Steve Denne alitembelea Tanzania kwa mara kwanza wiki iliyopita kuona miradi inayoendeshwa...
View ArticleRais Kikwete apokea ujumbe toka kwa Rais wa Sudani ya Kusini Mhe Salvar Kiir...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalumu toka kwa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudani Kusini ulioletwa na mjumbe malumu Jenerali James Kok Ruea Jumamosi September 14, Ikulu jijini Dar es...
View ArticleKinana akagua Shamba la Mikorosho 19270 iliyoharibika katika kijiji cha...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia moja kati ya miti 19,270 ya korosho iliyoharibika alipokwenda kukagua shamba la hekali 1000 katika Kijiji cha Magawa wakati wa ziara yake wilayani...
View ArticleSerikali imeendelea kujenga mazingira wezeshi kwa ajili ya mashirika yasiyo...
Mkurugenzi wa Kitengo cha Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Bw. Marcel Katemba akiongea na waandishi wa habari( Hawapo pichani)kuhusu juhudi...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal akutana na Mbunge shirikisho la...
-Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Mhe. Charles M. Huber (wa pili kushoto) ambaye ni Mbunge na Mjumbe wa Kamati ya Ushirikiano wa Uchumi na...
View ArticleMagonjwa ya moyo bado ni miongoni mwa magonjwa yanayochangia vifo vingi Tanzania
Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani, WHO zilizotolewa mwaka 2011, Vifo vilivyotokana na magojwa ya moyo nchini Tanzania vilifikia idadi ya watu 19,083, au asilimia 4.33% ya idadi ya vifo...
View ArticleTutengeneze Katiba inayolenga kutatua matatizo ya wananchi wetu kwa miaka 50...
Mjumbe wa Bunge Maalum, Mhe. Prof. Mark Mwandosya akichangia mjadala wa ndani ya Bunge Maalum kujadili taarifa za kamati za bunge hilo zilizowasilishwa wiki iliyopita kwa ajili ya kuandika Katiba...
View ArticleCamera ya MOblog yamulika wakazi wa mji wa Singida wakifuatilia hotuba ya...
Baadhi ya wakazi wa mji wa Singida ,wakifuatilia kwa makini hutoba ya mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe, wakati akihutubia Watanzania kupitia kituo cha televisheni cha ITV jana kwenye mkutano...
View ArticlePinda akutana na ujumbe wa kampuni ya SUMITOMO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa wa Kampuni ya Japani ya SUMITOMO baada ya kuzungumza nao ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 15, 2014.Kulia kwake ni...
View ArticleBalozi Seif Iddi awataka viongozi wa dini kuhubiri amani
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiingia ndani ya Ukumbi wa Masai Laugwa Wilaya ya Bagamoyo kuzindua Tamasha la Kuliombea Taifa Amani lililoandaliwa na Kanisa la Restoration {...
View ArticleAPO Announces Finalists for the 2014 APO Media Award
APO Media Award celebrates brilliant and inspiring stories about Africa Ten African journalists, including three in Kenya, two in Ethiopia, two in South Africa, one in Burkina Faso, one in Ghana, and...
View ArticleTangazo la nafasi za kazi chuo cha ufundi stadi Masigitunda
CHUO CHA UFUNDI STADI CHA MASIGITUNDA KILICHOPO PERAMIHOKATIKA KIJIJI CHA MSHIKAMANO KINATANGAZA NAFASI ZIFUATAZO ZA A. MKUU WA CHUO NAFASI MOJA (1): AWE NA SIFA ZIFUATAZO; 1. AMEMALIZA KIDATO CHA NNE...
View ArticleA carrot, an egg, and a cup of coffee…You will never look at a cup of coffee...
A young woman went to her mother and told her about her life and how things were so hard for her. She did not know how she was going to make it and wanted to give up. She was tired of fighting and...
View ArticleTigo yadhamini maonesho ya kuinua tasnia ya filamu
Mkurugenzi wa kanda ya Kaskazini wa Tigo, Bw. David Charles akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni ya Tigo kwa maonesho ya filamu za Kiafrika Arusha...
View ArticleMfuko wa Pensheni wa PSPF watimiza miaka 15 tokea kuanzishwa kwake
Mkurugenzi wa Idara ya Habari- Maelezo, Bw Assah Mwambene akizungumza jambo wakati wa mkutano wa waandishi wa habari na Viongozi wa Mfuko wa Hifadhi wa Pensheni wa PSPF mapema leo katika Ukumbi wa JB...
View ArticleMkutano wa 29 wa Baraza la Mawaziri wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika...
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Biashara kutoka Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Abdulla Makame Akiwaeleza waandishi wa Habari(hawapo pichani) Kuhusu Mkutano wa 29 wa Baraza la Mawaziri wa...
View ArticleTBS kuajiri watumishi 200
Afisa Uhusiano wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bi. Roida Andusamile akitoa wito kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuendelea kuelemisha umma kuhusu madhara ya matumizi ya nguo za mdani za...
View Article