Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Kinana akagua Shamba la Mikorosho 19270 iliyoharibika katika kijiji cha Magawa, Mkuranga na kuwaahidi kuwasaidia wakulima wa zao hilo kupata fidia

$
0
0

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia moja kati ya miti 19,270 ya korosho iliyoharibika  alipokwenda kukagua shamba la hekali 1000 katika Kijiji cha Magawa wakati wa ziara yake wilayani Mkuranga ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM.PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

IMG_5802

 Kinana akiongoza kukagua shamba la mikorosho iliyoharibika na kuwafanya wananchi wa Kijiji cha Magawa kuwa masikini.

 Kinana akizungumza na wakulima wa zao hilo katika Kijiji cha Magawa, ambapo aliahidi suala lao hilo kulipepeleka kwa Waziri Mkuu, ili wapatiwe fidia na serikali kama walivyopatiwa wafugaji waliofiwa na mifugo yao katika baadhi ya ikoa nchni.

 Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Rufiji,na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid  mkoani Pwani, alipowasili katika wilaya hiyo kuanza ziarfa ua kuimarisha uhai wa chama.

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Rufiji,na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.
Seif Rashid  mkoani Pwani, alipowasili katika wilaya hiyo kuanza ziarfa
ua kuimarisha uhai wa chama.

 Nape Nnauye akilakiwa kwa furaha na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Nurdin Babu leo katika Mji wa Ikwiriri

 Kinana akisaidia kuranda mbao baada ya kufungua Tawi la Vijana wajasriliamali la Mayuyu Mjini Utete, Wilayani Rufiji.

 Kinana na Nape wakiangalia viti walivyozawadiwa na kikundi hicho cha VIJANA

 Kinana akikagua jengo la Ofisi ya Wilaya ya Rufiji baada ya kulizindua mjini Utete jana

 Kikundi cha hamasa cha CCM Wilayani Rufiji, wakicheza ngoma katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Kinana mjini Utete jana.

 NNape akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Utete leo

 Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kiwili, Kata ya Utete,Sudi Nassoro akijeleza mbele ya Kinana jinsi wanavyosuluhisha migogoro dhidi ya wafugaji na wanakijiji katika kkutano huo.

 Mzee Shamte Ungusa (71), mkazi wa Utete Mjini, akilalamika  mbele ya Kinana jinsi serikali ilivyowasahau kwa kipindi kirefu kuwajengea barabara ya lami kutoka Nywamwage hadi mjini Utete ambapo ni makao makuu ya Wilaya ya Rufiji.

 Wanachama wapya wa CCM wakila kiapo cha utii mbele ya Kinana baada ya kukabidhiwa kadi za chama hicho katika mkutano huo

Kinana akaikagua jengo jipya la uzazi la akina mama katika Kijiji cha Nyamwage.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles