Mzee Kingunge ataka katiba itakayomwondoa Mtanzania katika umaskini
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru akichangia bungeni mjini Dodoma Septemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Na Magreth Kinabo, Dodoma Mjumbe wa Bunge Maalum la...
View ArticleMsamaria mwema kutoka Maryland atoa msaada wa Wheelchair kwa kikongwe...
Msamaria mwema ametoa Wheelchair kwa Scholastica Mhagama (76) mwenye ulemavu wa viungo anayeishi pekee yake katika kibanda kilichoezekwa kwa nyasi. Bibi huyo mkazi wa Kijiji cha Lundusi Kata ya...
View ArticlePinda akutana na ujumbe wa Benki ya Dunia
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati,baada ya mazungumzo...
View ArticleUzindizi wa Coke Studio Africa wafana
Kutoka kushoto ni Joh Makini, Shaa, Bukuku (Mc wa shughuli hiyo), Brand Manager wa Coca Cola, Maurice Njowoka na Vanessa Mdee. ‘Coke Studio Africa’ msimu wa pili Vanessa Mdee, Shaa, Joh Makini Diamond...
View ArticleProf. Mbarawa Launches “Rumble In The Jungle” A call to action for African...
Hon. ambassador Mwaidi Sinare Maajar followed by honorable Minister of Science and Communication, Prof Makame Mbarawa together with the author Mr. Norman Moyo beating the drums marking the unveiling...
View ArticleJK ataka msaada ESRF kuondoa umaskini kwenye uchumi unaokua kwa kasi kubwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Hoseana Lunogelo akisalimiana na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la...
View ArticleAfrican CEOs optimistic about growth despite challenges on the continent –...
CEOs in Africa are optimistic about their company’s prospects for revenue growth over the medium term, according to PwC’s ‘Africa Business Agenda, 2014’ report issued today (http://www.pwc.com)....
View ArticleSitta awapa somo Viongozi wanaojiita UKAWA
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo. Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma. MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta amewaadaa baadhi ya viongozi...
View ArticleMakamu wa Rais akutana na uongozi wa NEC-Japan Ikulu Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Rais wa Shirika la NEC Corporation la Japan, Dkt. Nobuhiro Endo, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu...
View ArticleHalima Mdee aibuka kidedea wanawake CHADEMA
Mbunge wa Kawe Halima Mdee CHADEMA. Na Mwandishi wetu Mbunge wa Kawe Halima Mdee CHADEMA amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la wanawake wa Chama hicho (BAVICHA) unaoendelea katika ukumbi wa...
View ArticleKituo cha uwekezaji Tanzania (TIC) chasajili miradi 885
Meneja Mawasiliano wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Pendo Gondwe (katikati), akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na usajili wa miradi 885 wakati wa mkutano uliofanyika...
View ArticleWanawake vaeni nguo sasa, kama kuvua mumeshavua imetosha!
MOJA ya sifa ya mwandishi ni kusoma, na katika kusoma huko na kupekua pekua hapa na pale unaweza kujifunza na kupata la kuandika kupitia maandiko ya watu wengine na kutoa elimu kwa umma. Leo nimepita...
View ArticleWaandishi wa habari wanaoenda nchini Malawi waagwa rasmi
Baadhi ya waandishi wa habari wanaosafiri kwenda Malawi wakiwa wanamsikiliza Katibu tawala msaidizi wakati wa kuagana. Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Mbeya, Leonard Magacha akizungumza na waandishi wa...
View ArticleMhe. Lazaro Nyalando, Cassim Mganga wawasili kuhudhuria tamasha la utalii na...
Mhe. Lazaro Nyalandu, Waziri wa Maliasili na Utalii akipokewa na Afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Suleiman Saleh mara tu alipowasili katika uwanja wa kimataifa wa Dulles kwa ajili ya...
View ArticlePinda akutana na wadau wa CDA Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wadau wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) mjini Dodoma Sep 12,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa wadau...
View ArticleMadagaska imeongezwa kwenye mtandao unaokua wa Air Seychelles
Air Seychelles (http://www.airseychelles.com), shirika la ndege la kitaifa la Jamhuri ya Ushelisheli, imetangaza leo uzinduzi wa safari za moja kwa moja hadi Antananarivo, Madagaska, kuanzia tarehe 3...
View ArticlePinda awasili Tanga kwa ziara ya kikazi ya siku moja
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wasanii wa kikundi cha wanawake wa cha Tanga cha Msanja baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ziara ya siku moja ya kikazi. (Picha na Ofisi...
View ArticleWanawake wataka hamisini kwa hamsini Katiba Mpya ijayo
Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Pindi Chana akiwahutubia baadhi ya wanawake na wanaume waliohudhuria semina maalum iliyohusu kuwawezesha wanawake katika masuala ya...
View ArticleMkoa wa Mbeya kunufaika na mradi wa EADD
Mfugaji wa Heifer International Tanzania akitoa maelezo kwa Makamu wa Rais wa Shirika la Heifer International, Bw. Steve Denne (mwenye kofia) alipotembelea miradi inayofadhiliwa na shirika hilo. Na....
View ArticleCanadian Prime Minister Stephen Harper and Aga Khan Open the Ismaili Centre...
PM Harper of Canada and HH the Aga Khan waving to crowds outside the Ismaili Centre, Toronto – AKDN / Zahur Ramji). The Right Honourable Stephen Harper, Prime Minister of Canada, and His Highness the...
View Article