Pinda afungua semina ya wanasheria wa serikali wa Afrika ya Mashariki
Waziri Mkuu, mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB), Vivianne Yeda (kushoto) na Mjumbe wa Bodi ya...
View ArticleIPTL yamburuza Zitto kortini
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe. Na Mwandishi wetu KAMPUNI ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na wadai wengine wawili wamefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu...
View ArticleRais Kikwete akagua utayari wa Tanzania kukabiliana na Ebola
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Septemba 9, 2014, amekagua huduma na...
View ArticleRais Jakaya Kikwete apokea hati za utambulisho za Balozi wa Rwanda na Norway...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akimkaribisha rasmi Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura alipowasilisha hati za utambulisho leo...
View ArticleGari aina ya Toyota Verossa inauzwa
Gari inauzwa kwa bei nzuri tu na ipo Dar kwa atakayeipenda tuwasiliane kupitia mawasiliano hapo chini SPECIFICATIONS ZA GARI HIYO NI MAKER: TOYOTA MODEL: VEROSSA YoM: 2001 CC: 1980 Odo:...
View ArticleMakubaliano ya JK na ukawa ni haya hapa
Mwenyekiti wa TCD, John Cheyo. .katiba ya zamani kufanyiwa marekebisho .Ni kuruhusu tume huru na mgombea binafsi .Ni makubaliano ya viongozi wa vyama vya siasa Na Lukwangule Blog KATIBA inayotumika...
View ArticleNHIF yakamata watu wanaotumia kadi za Bima ya Afya kinyume na utaratibu...
Bw. Julius Mziray mkaguzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akizungumza na waandishi wa habari katika hospitali ya Regency ya jijini Dar es salaam. Baada ya kumkamata mtu mmoja anayetuhumiwa...
View ArticleBia ya Kibo Gold Lager ya SBL yashinda tuzo ya medali ya dhahabu ya ubora...
Na Mwandishi wetu BIA ya Kibo Gold Lager imechaguliwa kuwa mshindi wa medali ya dhahabu kwa ubora duniani inayotolewa na ‘Monde Selection’. Kibo ilipokea utambulisho huo wa kimataifa wakati wa sherehe...
View ArticleBunge Maalum la Katiba laendelea na mjadala wa Rasimu ya Katiba
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiingia ndani ya Bunge hilo leo 10 Septemba, 2014 kwa ajili ya kuendelea na mjadala wa Rasimu ya Katiba. Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma. BUNGE Maalum...
View ArticleWateja wa Tigo Pesa kunufaika na huduma ya “Tigo wekeza” kwa kupata faida...
Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu huduma mpya ya Tigo Wekeza iliyozinduliwa leo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wa Tigo Pesa zaidi ya...
View ArticleSmart Codes Tanzania yazindua huduma mpya “Patikana” kusaidia biashara za...
Kampuni ya SMART CODES inayojishughulisha na teknolojia ya mtandao, imezindua huduma mpya na ya bei nafuu kuwawezesha wafanyabiashara wote duniani hususani Tanzania kuweza kuweka biashara zao kwenye...
View ArticleLaunch of certified apprenticeship program in hotel operation
Representatives from ILO, TUCTA, ATE and HAT in a group photo with the apprentices during the launch of the programme held in Dar es Salaam on 5TH AUGUST 2014. The launch was coupled with the signing...
View ArticleMkoa wa Dodoma kuzindua mradi wa kukabiliana na upungufu wa dawa katika...
Na Mwandishi wa MAELEZO, Dodoma Mkoa wa Dodoma unatarajia kuzindua Mradi wa Kuboresha na kuimarisha mfumo wa uuzaji na usambazaji wa dawa katika wilaya zote. Hatua hiyo inalenga kuboresha na...
View ArticleMbunifu wa Mavazi wa Kimataifa Sheria Ngowi akutana na Rais Jakaya Kikwete...
Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (kulia) akibadilishana mawazo na Rais Jakaya Kikwete IKULU Leo Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili mambo mbalimbali. Rais Jakaya Kikwete...
View ArticleWahanga wa Viwanja Kilosa kumwona JK
Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi wa wilayani Kilosa mkoani Morogoro hivi karibuni. Na Mwandishi wetu KAULI ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa hivi karibuni kwa...
View ArticleWasanii Kassim Mganga, Aunty Ezekiel na AJ Ubao kunogesha tamasha la utalii...
Msanii wa Bongo Movie Aunty Ezekiel kunogesha tamasha la utalii siku ya Jumamosi Sept 13, 2014. Msanii wa Bongo flava Kassim mganga nae kuwepo. AJ Ubao. Vijimambo Blog kwa ushirikiano wa pamoja na...
View ArticleMalinzi azindua Rock City Marathon 2014
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF ) Bw. Jumanne Mbepo, ambao ndo wadhamini wakuu wa mbio za Rock City Marathon 2014, akizungumza machache wakati wa uzinduzi wa...
View ArticleUsimamizi wa maadili Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dar waongeza ufaulu
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu maadhimisho miaka 50 ya chuo hicho yanayoendelea jijini Dar es salaam. Na...
View ArticleRais Kikwete hawezi kutamka Bunge liharishwe
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD)Mhe. John Cheyo.(Picha na Maktaba). Na Magreth Kinabo, Dodoma Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye...
View ArticleSekta za madini, umeme na kilimo zakuza pato la taifa
Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Bw. Morrice Oyuke (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ukuaji wa Pato la Taifa kwa bei ya Soko leo jijini Dar es salaam....
View Article